Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni ,

Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa na Pato Ghafi kwa bei za sasa linalofikia US$ 69.238BL au TZS 152.234 Trilioni ikiwa ni sawa na ongezeko la TZS 3.8Trilioni,

Kwalugha rahisi kwa kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Pato Ghafi ( GDP ) limeongezeka hadi kufikia US$ 69BL kutoka US$66BL na hii ndio inaifanya Tanzania inaingia kwenye orodha ya kumi bora za nchi tajiri zaidi Africa baada ya kuikosa nafasi hii kwa miaka kadhaa sasa

Zaidi soma > What is the richest country in Africa 2021? Top 20 by GDP

Mmeanza tena ule ujinga wenu wa enzi ya Magufuli?
 
🐒🐒🐒
imgvfdage12.png
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom