Rais Samia ahsante sana, Nikki wa Pili ni uteuzi bora kabisa

kipimo cha ugenius ni kipi?

by the way namsifu kwa ngoma yake sitaki kazi zingine zote upuuzi mtupu
 
Mziki na siasa kipi kinalipa? Na maanisha kwa level ya UDC vs level ya kimziki aliyofikia Nikki?

Naona kama kwa level yake ya kimziki aliyofikia jamaa, mapato ya kimziki ni makubwa ukilinganisha na ya huo u-DC kwa mwaka, otherwise labda ameamua kuingia kwenye siasa/kupata Heshima (Mheshimiwa)
Yaaani mkuu wa wilaya na mziki wa kina weusi mziki unalipa zaidi?
 
Sijasoma thread yako ila kifupi tu punguzo shobo.
Nani kama mama? Ukikutana na watu 10, basi 7 Kati yao watakuambia wanampenda sana mama kuliko baba.

Mama Samia kweli amedhmairia kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa, niseme wazi kuwa mimi sijawahi kuamini kiongozi Bora anaweza kutoka nje ya mfumo wa CCM.

Ujio wa mama Samia ni ujumbe kuwa CCM bado Ina hazina ya viongozi wenye maono na wenye uwezo mkubwa Sana
Mama Samia siku ya jana umetufurahisha sana watanzania kwa kumteua the genius NIKKI WA PILI, hakika ni furaha isiyomithirika.

Nikki wa Pili ni genius, ni kijana shupavu, hodari, mpole, mnyenyekevu na mwenye busara ya hali ya juu sana. Waswahili wanasema usiandikie mate wakati wino ungalipo. Muda utasema kuhusu Nikki wa Pili. Namuona mbali sana.

Mama umetutendea vyema sana kumleta Nikki wa Pili.

Kwa wasiomjua huyu kijana nitaeleza kwa ufupi hapa chini.

Nikki alizaliwa na kusomea Arusha, alipomaliza darasa la 7 na matokeo kutoka hakupata bahati ya kuchaguliwa (kipindi kile kufaulu kulikuwa kugumu sana) hivyo Nikki akakaa nyumbani kutokana na familia kutokuwa na uwezo wa kumsomesha shule binafsi. Hivyo akabidi ajatafute kibarua kwenye kuuza duka soko la kilombero mkoani humo.

Baada ya miezi mitatu ikatoka second selection, na hatimaye jina la Nickson Simon likatoka na hivyo kuendelea na masomo shule ya secondary Arusha.

Ilipofika form 4 Nikki akapata Division 1 na kupangiwa kwenda Kigoma Secondary kwa ajili ya masomo ya Advance(A-Level).

Mazingira ya kwenda huko hayakuwa mazuri kwa maana ilibidi aungeunge sana ili kufika Kigoma na kuanza masomo.

Na alipomaliza Form 6 akapata Div 1 na kuamua kwenda kujiunga na chuo kikuu Cha Daressalaam (UDSM).

Kipindi yupo UDSM, kaka yake Joh Makini alikuwa taayari msanii mkubwa sana Tanzania akitmaba na ngoma zake kadhaa ikiwemo chochote popote.

Hivyo Joh Makini alihitaji kufanya wimbo mwingine na siku anaenda studio pale Kama kaea records ubungo alikuwa ameongizana na Nikki wa Pili ambae yeye alikuwa anaenda zake mabibo hostel.

Joh akiwa nje anapasha sauti ili aanze kurekodi wimbo maana beat ilikuwa tayari. Ghafla Nikki wa Pili akaomba afanye kama anajaribu kwenye hiyo beat. The rest is history.

Watu wote studio walikuwa hawaamini wanachokisikia, na baadae wimbo wa "Niaje Nivipi" ulikuwa mkubwa kupita maelezo na kumtambulisha rasmi Nikki wa Pili.

Nikki wa Pili akaamua kuendeleza kutoa nyimbi zingine kama ; Good Boy, Excellent, Feelings, Higher, Kila wakati, Pea, Kiujamaa n.k

Hii story itaendelea.

AHSANTE SANA MAMA SAMIA KWA ZAWADI HII YA NIKKI WA PILI, MUNGU AKUBARIKI SANA

View attachment 1824414
 
Hamfikii diamond hata kwa robo, sioni jipya Kwake alilofanya, Mond hata kama hana shahada. Lakini ni kijana mchapa Kazi kuriko hawa wa "Udsm"
 
Nikki ni mtu average hana huo U genius unaousema, background ya jamii inayomzunguka ndiyo inayomfanya aonekane ana utofauti(elimu). Shule toka mwanzo amekua aki struggle na kupata ufaulu ambao hata wenzake walikuwa/wamekuwa wakipata. Kuhusu kuwa kwenye mziki ni wazi Ar ni kitu cha kawaida hasa yeye ambaye kaka yake alishatambulika mda mrefu kwenye mziki ikawa ni rahisi, lkn uwasilishaji wa mziki wake ni wa kawaida kabisa.
Kuoata division 1 ni kawaida eeh? Si kila mtu angepata? Wewe mbona ulifeli form 4?
Jipige kifuani alafu sema "Mimi ni mjinga sana"
 
Wameamua kumfuta machozi kwa kuliwa mwandani wake na yule Prof mimacho. Haya dogo umepewa cheo ili ukaushe sasa. Kuchapiwa ni Siri ya ndani. Ukafanye kazi sasa tuone.
 
Nani kama mama? Ukikutana na watu 10, basi 7 Kati yao watakuambia wanampenda sana mama kuliko baba.

Mama Samia kweli amedhmairia kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa, niseme wazi kuwa mimi sijawahi kuamini kiongozi Bora anaweza kutoka nje ya mfumo wa CCM.

Ujio wa mama Samia ni ujumbe kuwa CCM bado Ina hazina ya viongozi wenye maono na wenye uwezo mkubwa Sana
Mama Samia siku ya jana umetufurahisha sana watanzania kwa kumteua the genius NIKKI WA PILI, hakika ni furaha isiyomithirika.

Nikki wa Pili ni genius, ni kijana shupavu, hodari, mpole, mnyenyekevu na mwenye busara ya hali ya juu sana. Waswahili wanasema usiandikie mate wakati wino ungalipo. Muda utasema kuhusu Nikki wa Pili. Namuona mbali sana.

Mama umetutendea vyema sana kumleta Nikki wa Pili.

Kwa wasiomjua huyu kijana nitaeleza kwa ufupi hapa chini.

Nikki alizaliwa na kusomea Arusha, alipomaliza darasa la 7 na matokeo kutoka hakupata bahati ya kuchaguliwa (kipindi kile kufaulu kulikuwa kugumu sana) hivyo Nikki akakaa nyumbani kutokana na familia kutokuwa na uwezo wa kumsomesha shule binafsi. Hivyo akabidi ajatafute kibarua kwenye kuuza duka soko la kilombero mkoani humo.

Baada ya miezi mitatu ikatoka second selection, na hatimaye jina la Nickson Simon likatoka na hivyo kuendelea na masomo shule ya secondary Arusha.

Ilipofika form 4 Nikki akapata Division 1 na kupangiwa kwenda Kigoma Secondary kwa ajili ya masomo ya Advance(A-Level).

Mazingira ya kwenda huko hayakuwa mazuri kwa maana ilibidi aungeunge sana ili kufika Kigoma na kuanza masomo.

Na alipomaliza Form 6 akapata Div 1 na kuamua kwenda kujiunga na chuo kikuu Cha Daressalaam (UDSM).

Kipindi yupo UDSM, kaka yake Joh Makini alikuwa taayari msanii mkubwa sana Tanzania akitmaba na ngoma zake kadhaa ikiwemo chochote popote.

Hivyo Joh Makini alihitaji kufanya wimbo mwingine na siku anaenda studio pale Kama kaea records ubungo alikuwa ameongizana na Nikki wa Pili ambae yeye alikuwa anaenda zake mabibo hostel.

Joh akiwa nje anapasha sauti ili aanze kurekodi wimbo maana beat ilikuwa tayari. Ghafla Nikki wa Pili akaomba afanye kama anajaribu kwenye hiyo beat. The rest is history.

Watu wote studio walikuwa hawaamini wanachokisikia, na baadae wimbo wa "Niaje Nivipi" ulikuwa mkubwa kupita maelezo na kumtambulisha rasmi Nikki wa Pili.

Nikki wa Pili akaamua kuendeleza kutoa nyimbi zingine kama ; Good Boy, Excellent, Feelings, Higher, Kila wakati, Pea, Kiujamaa n.k

Hii story itaendelea.

AHSANTE SANA MAMA SAMIA KWA ZAWADI HII YA NIKKI WA PILI, MUNGU AKUBARIKI SANA

View attachment 1824414
Stori nzuri ingawaje sijawahi kusikia hata wimbo wake mmoja.
 
Back
Top Bottom