Rais Samia agusia uzembe, ufujaji fedha na mivutano Mkoani Mara. Aagiza Wakaguzi wa Ndani wabadilishwe

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri

Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa licha ya kuwepo Wakaguzi wa Ndani, akiwataka, "Wafanye kazi zao ili kuona haya madudu mapema"

Ameongeza, "Hayaonekani kwasababu Wakaguzi wa Ndani nanyi ni sehemu ya wafujaji wa Fedha hizo, ndiyo maana hamkaguzi na hamsemi. Waziri anayeshughulika hawa watu wabadilisheni. Wameshakaa sana wamezoeana"
 
Yaani hao wakaguzi wa ndani wote Tanzania wanaoenda kuwa jirani na waded Ili wawafichie maovu yao waded nao wanalipwa fadhila
 
Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri

Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa licha ya kuwepo Wakaguzi wa Ndani, akiwataka, "Wafanye kazi zao ili kuona haya madudu mapema"

Ameongeza, "Hayaonekani kwasababu Wakaguzi wa Ndani nanyi ni sehemu ya wafujaji wa Fedha hizo, ndiyo maana hamkaguzi na hamsemi. Waziri anayeshughulika hawa watu wabadilisheni. Wameshakaa sana wamezoeana"
Kila Mbuzi anakula urefu wa kamba yake.
 
Washushwe cheo sio kubadilishwa,hiyo sio Tiba.
 
Yeye anabadilishwa lini kwa kuhamasisha ufisadi kwenye Taifa?🐒🐒🐒
 
Huko Mbali sana na makao makuu ya nchi watendaji wamejiachia tu.

Close supervision ni muhimu.

Watu hawapendi close supervision maana watakosa mwanya wa kuiba na ndio alikua anakifanya Magufuli ndio maana kuna watu hawakupenda wafuatwefuatwe.

Sasa ukiwaacha bila ya kufuatilia lazima wakupige end of the day Rais anaonekana hafai.
 
Ajili wakaguzi wazungu,Kuna sehemu lazima tuajili wageni,ajiri wachina na wazungu
 
Back
Top Bottom