Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

Nimepitia orodha ya wakuu wa mikoa waliochaguliwa na Mh. Samia suluhu . Kwa mkoa wa manyara ulivyo nyuma kimaendeleo kupewa makongoro Nyerere kuwa mkuu wa mkoa huo ni rasmi kuwa upinzani umefunguliwa mlango wa kuambiwa karibu manyara.

Hivi kwanini hamtaki vyama vingine vifanye siasa tofauti na CCM? Kwani opposition wakiingia kuna shida gani? "MAENDEREO" hayana chama,Huo ndio UKWERI au nasema uongo ndugu zangu?
 
Oooh Makongoro anakunywa sana! Oooh Makongoro ni mlevi mno! Oooh uwezo wake wa kuongoza ni mdogo sana!

Acheni hizo.Kwani kati ya mlevi na mtekaji (kama Sabaya na Bashite) nani ana unafuu? Haya,hao ma-DC na ma-RC mumiani,wahuni na malaya wamefanya yapi ya maana?

Kwangu mimi,bora mlevi mstaarabu na anayeheshimu na kuthamini wengine.
 
Yule ni katunist. Atawezana tu na Wairaq na Wamang'ati, Wadatoga na Wabarbeigi. By the way hawana time na mtu kama hatagusa maslahi yao ya uwindaji, ardhi na kuchota chumvi ziwa Eyasi
 
Makongoro amepewa ukuu wa Mkoa ili kumuondoa kwenye cheo chake kwenye kamati za CCM, na huko Manyara wanaenda kummaliza kwa kuwa wanajua udhaifu wa Pombe na wanawake, kwa lugha rahisi Makongoro Nyerere ametolewa kwenye reli ili aweze kutimiza adhma zao huko ndani ya CCM.
 
Bora anayezungusha via mezani kuliko anayetembeza silaha kwa mfanyabiashara kama saboya.
 
Makongoro amepewa ukuu wa Mkoa ili kumuondoa kwenye cheo chake kwenye kamati za CCM, na huko Manyara wanaenda kummaliza kwa kuwa wanajua udhaifu wa Pombe na wanawake, kwa lugha rahisi Makongoro Nyerere ametolewa kwenye reli ili aweze kutimiza adhma zao huko ndani ya CCM.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Kiukweli Mwalimu hakuwekeza kabisa kwa watoto wake! Yaani kuna tofauti kubwa sana kati ya watoto wake na watoto wa maraisi wenzake walio mfuata.

Ridhiwan vs Makongoro

Hussein Mwinyi vs Makongoro

Yule kibonge wa Magu vy Makongoro

Yule mtoto wa Ben vs Makongoro, nk.
 
Makongoro amepewa ukuu wa Mkoa ili kumuondoa kwenye cheo chake kwenye kamati za CCM, na huko Manyara wanaenda kummaliza kwa kuwa wanajua udhaifu wa Pombe na wanawake, kwa lugha rahisi Makongoro Nyerere ametolewa kwenye reli ili aweze kutimiza adhma zao huko ndani ya CCM.
In maana yale yote ambayo yalikuwa yanatokea huko CCM mpaka kufikia Chama kinakuwa chini ya Familia, huyo Makongoro alikuwa anashauri nini?

Kama ingekuwa Cheo cha Makongoro huko CCM ni muhimu sana kiasi kwamba kuna vitu alikuwa anazuia. Iliwezekanaje mtu wa CUF, Dr. Bashiru apewe ukatibu mkuu wa Chama na Polepole awe Itikadi? Ilikuwaje ashindwe hata kushauri kwa aliyekuwa Mwenyekiti wake suala la kumchukua katibu mkuu wa Chama na kumpa cheo cha kuwa mkuu wa watumishi?

Makongoro hana lolote la kuzuia huko CCM hizo ulizoandika hapa ni story kama story zingine baada ya kushiba msosi wa Shemeji yako na kukaa kijiweni kudanganyana.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom