Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Kana vile walivyofanya kwenye Reli huko nyuma?Hili shirika wakitaka lifanye vizuri serikali iingie ubia na makampuni binafsi.
Wakapewa wahindi wakaenda nalo india.
Kana vile walivyofanya kwenye Reli huko nyuma?Hili shirika wakitaka lifanye vizuri serikali iingie ubia na makampuni binafsi.
Mwarabu yupi?Nilijua tu yule jamaa mwarabu wa TANESCO hatakosa kazi.
Nilijua tu.
Tanzania sio nchi ya kiislam. Halafu hawa viongozi wantufanya wananchi kama vile wajinga yani.
Afadhali iwe hivyo kuliko ule upuuzi aliokuwa anafanya alietangulia kutuletea kabila moja tu kati ya makabila 120 tuliyonaya hapa nchini .Mbaya zaidi hilo kabila alitulazimishia kuwa na viongozi wajinga kama Makonda ,Mnyeti ,na kama hao ,sasa hivi kuna alieko shirika la Reli hajui hata anatetea nini aisee?Kwahiyo ndio unataka kusemaje??
Utaumia sana safari hii na mama wala hashughulishwi na mikelele yenu
Sidhani km ni afy kuwa na jicho la udini kiasi hicho unless unafanya harakati za kupigania dini yako itawaleOfisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Hapo ndio watu wengi wanakosea. Level ya MD haihitaji elimu ile taaluma. Hapo ni suala la umahiri wa uongozi tu. Namna gani ataangalia vAnaweza kuwa mzuri Ila kama hana background ya electrical engineering itamchukua muda kupata uzoefu na shughuli za Tanesco.
Wapigaji wanajipanga bila aibu. Ma Phd holders wanaondolewa wanawekwa wajuzi kupiga. Subirini muone marudio ya iptl marichmond na maepa yakirejelewa.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka
Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi
Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO
====
Rais Samia amemteua Hassan Seif Said kuwa Mkurugenzi Mkuu Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Kabla ya uteuzi, alikuwa Meneja wa Kanda Mwandamizi wa Kanda ya Mashariki TANESCO
Aidha, Michael Minja ameteuliwa kuwa Kamishna wa Petrol na Gesi, Wizara ya Nishati. Kabla ya kuteuliwa, Minja alikuwa Mkurugenzi Mkuu TIPPER
Vilevile, Rais amemteua Felschemi Mramba kuwa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu
=====
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amewahamisha Watumishi Waandamizi watano kutoka TANESCO kwenda Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambapo watapangiwa majukumu mengine
Waliohamishwa ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji, Khalid James; Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usambazaji na Masoko, Mhandisi Raymond Seya na Naibu Mkurugenzi Mtendaji Usafirishaji, Mhandisi Isaac Chanje
Wengine ni Nyelu Mwamaja (Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi) na Amos Ndegi (Mwanasheria wa TANESCO)
View attachment 1952485
View attachment 1952487
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Dah Jiwe alimfukuza kwa aibu akiwa likizo krismas kisa tu kabila lake.Hongera Mhandisi Mramba hakika Mwenyezi Mungu Mkubwa
Who cares....kila mtu ashinde mechi zake...pambana sheikhYeah na tutaendelea kumshangilia.
Ikizidi kuuma sema usikae kimya. Ni hatari kwa afya yako
Kibongobongo hata binti wa chekechea anamudu tu hizo nafasi na nyadhifa na mambo yakaenda.Hapo ndio watu wengi wanakosea. Level ya MD haihitaji elimu ile taaluma. Hapo ni suala la umahiri wa uongozi tu. Namna gani ataangalia v
CV za wale wasaidizi wake na kuwapangia majukumu.
Hapo ni leadership and management combined. Sio elimu ya electrical.
Tumewahi kuwa MD wa Muhimbili ambaye hakuwa Daktari.
Mijizi hiyo. Inajipanga kwenye safu ya upigaji. Huyo chande wa multi choice anakuja kuwaleta wapigaji wa kigeni.Multichoice na TANESCO ni mbingu na ardhi
U yo jamaa alietoka Multichoice yuko vizur sana.
Tanesco wameula
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiongozi yoyote anapojiunga katika kampuni mpya kazi yake kubwa ni kubadilisha muelekeo wa taasisi au kampuni kufanya vizuri zaidi na kuingiza tamaduni mpya wa jinsi ya utendaji kazi kwa wafanyakazi waliopo na pia wateja wao kunufaika na ujio wa uongozi Mpya kwa kupokea huduma bora, ya bei nafuu pia waliowekeza hisa kuona ktk kampuni kuona hisa zao zikiongezeka thamani na mwisho wa mwaka wa pesa kupata gawio jingi zaidi ya miaka iliyopita.Maharage Chande has a Bachelor degree in Electronics and Communication from University of Dar es Salaam and a Master in Business Leadership from University of South Africa
Career path since 2010:Maharage was Chief Operating Officer at National Bank of Commerce, and Managing Executive of IT and Data at Vodacom Tanzania. Maharage served as Managing Director, Tanzania at Naspers.
Maharage Chande is currently Regional Director For East, West and Central Africa at MultiChoice Africa - View - MultiChoice Africa org chart
Hivi hata Mramba ni Ustadh kumbeHii ilionekana kabla.
Kwa TANESCO alieachwa ni huyo jamaa muislamu ambae amepewa cheo REA.
Huyu mama ni mdini sana.
Jamani tulikuwa na Rais Mkristo.Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
Acheni nongwa za kipuuzi hizo. Wanapopewa vyeo wakristo huwa mnakaa kimya kabisa.Hii ilionekana kabla.
Kwa TANESCO alieachwa ni huyo jamaa muislamu ambae amepewa cheo REA.
Huyu mama ni mdini sana.
You care, that's why kuteuliwa waislam unaumia sana.Who cares....kila mtu ashinde mechi zake...pambana sheikh