Kuhusu mazungumzo ya Rais Samia Suluhu Hassan na Kansela wa Ujerumani Mhe Angela Merkel.

20210901_212245.jpg
 
Miss utalii atakuwa amemkaribisha nchini ili afanye utalii atakapostaafu mwishoni mwa mwezi huu!
 
Bila kusema walichozungumza na manufaa yake kwa taifa ni kudemka tu. Nini cha maana tutarajie maana tunaka kazi tu na maendeleo na sio tozo na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya kupikia, ngano, vifaa vya ujenzi n.k
Utakuwa ni mkopo wa bei nafuu wa chanjo zilizo-expire, sioni kingine
 
Picha ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan katika mazungumzo na Chancellor Angela Dorothea Merkel, inaonekana kama yupo katika stress kubwa sijui ni kwa kuulizwa masuala ya hali ya kisiasa na kijamii inayoendelea hapa Tanzania.
 
Sio amezungumza alikuwa anapokea maelekezo tu ,sasa hivi hana jipya anapelekeshwa

sent from HUAWEI
 
Mazungumzo ya mwanamke kwa mwanamke hayanaga issue muhimu.......
Acha ubaguzi wa kijinsia. Kama mazungumzo ya wanawake hayana uhumuhimu mbona mazungumzo ya baba yako na mama yako kukuzaa yalikuwa na umuhimu au hayakuwa nao?
 
Back
Top Bottom