Rais Samia afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell

Yaani nimesoma naona wewe ni mshabiki tu usiyejitambua!
Unaonesha dalili zote za kuwa na ufahamu mdogo...

Unaweza kueleza ni kipi hapo nilichokitaja kwa ushabiki kama sio tu unasumbuliwa na ufahamu duni?
 
Lakini kuna msukumo mkubwa kuelekea kwenye gas zaidi ya bwawa.
Lakini lazima tufahamu suala la mradi wa gesi isn't just for power generation, na kwahiyo, ingawaje ni kweli pia gesi inazalisha umeme lakini gas inayozungumziwa sasa sio substitute ya Bwawa la Nyerere, especially at this stage!!!

Endapo utaisikia nguvu zinaelekezwa kwenye Gas ya Msimbati au Songosongo huku wakiendelea kujenga plants pale Kinyerezi, basi hiyo ndo direct substitute ya Bwawa la Nyerere lakini kwa gas inayozungumziwa, is a much bigger project kuliko suala la kuzalisha umeme!!!

Hapa tunazungumzia zile 57 trillion cubic feet zilizogunduliwa awamu ya IV, na haijachimbwa hata tone!! Hii ni gas ambayo kwa kiasi kikubwa itatumika for export, na ndo maana unakuta processing plant yake tu inakaribia TZS trillion 70... bajeti ya Tanzania kwa miaka miwili.
 
Lakini lazima tufahamu suala la mradi wa gesi isn't just for power generation, na kwahiyo, ingawaje ni kweli pia gesi inazalisha umeme lakinigas inayozungumziwa sasa sio substitute ya Bwawa la Nyerere, especially at this stage!!!

Endapo utaisikia nguvu zinaelekezwa kwenye Gas ya Msimbati au Songosongo huku zikiendelea kujengwa plants pale Kinyerezi, basi hiyo ndo direct substitute ya Bwawa la Nyerere lakini kwa gas inayozungumzia, is a much bigger project kuliko suala la kuzalisha umeme!!!

Hapa tunazungumzia zile 57 trillion cubic feet zilizogunduliwa awamu ya IV, na haijachimbwa hata tone!! Hii ni gas ambayo kwa kiasi kikubwa itatumika for export, na ndo maana unakuta processing plant yake tu inakaribia TZS trillion 70.
Kwanini mradi huu wa gasi ulikuwa kimya chini ya awamu ya tano ?

Kwanini sasa hivi umepata msukumo mkubwa sana baada ya kuingia waziri January Makamba ?
 
nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???

Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Degree ya kumvulia chup prof. Utunukiwe GPA 4.6 au degree gani bwashee?
 
Kwanini mradi huu wa gasi ulikuwa kimya chini ya awamu ya tano ?

Kwanini sasa hivi umepata msukumo mkubwa sana baada ya kuingia waziri January Makamba ?
Hilo swali anaweza kujibu JPM kwanini hakungaika kabisa na huo mradi....

Lakini sie tuliofuatilia kwa undani kabisa huu mradi, tunafahamu moja ya makosa makubwa kabisa ambayo JPM aliyafanya ni kuupuza huo mradi...

Hapo propaganda zikaanza kuenezwa kwamba gas yote ameuziwa Mchina....

Na kwavile Watanzania sio watu wa kufuatilia mambo, wakazimeza hizo propaganda!

Wakazimeza propaganda bila kutafakari hivi Wazungu ni wapumbavu kiasi gani watumie mabilioni ya pesa kufanya gas exploration halafu gas gwamwachie Mchina...

Unaweza kutumia anywhere from TZS 50 Billion kufanya gas exploration (utafutaji gas) kwa kisima kimoja TU cha mafuta, na unaweza usipate!

Royal Dutch Shell kwa mfano, walitumia karibu Trillion 2 kufanya hizi shughuli, halafu wamwachie Mchina gas!!

Na mambo mengine ni ya kutumia common sense tu! Yaani Mchina aweze kuchimba gas lakini ashindwe kujenga kiwanda cha kuchakata gas?!

Manake, hata walioamini kwamba gas yote kauziwa Mchina, wanafahamu kiwanda cha kuchakata gesi ilikuwa kijengwe na kampuni za mafuta za Ulaya!!
 
Kwa kawaida, conceptual design and feasibility study (Pre- Front End Engineering Design alias Pre-FEED) inachukua miezi 18 hadi 24.

Baada ya Pre-FEED inafuata Front End Engineering Design (FEED) ambayo inachukua takribani 24 months.

Hapo utaona kuna a total of 4 years!!

Project execution inachukua a maximum of 5 years!!

That having been said, from Pre-FEED na kuanza kuzalisha gas kwa mara ya kwanza... inachukua a maximum of 10 Years!!

Lakini wakati umetumia a maximum of 10 years, the following benefits zinaanza kupatika:-

1. Gas kama gas for domestic and industrial use in the country
2. Gas kama gas (LNG) for export
3. Gas for power (electricity) production.
4. Gas by-products for industrial development... pale Mtwara peke yake, kuna investment ya USD 1.9 Billion kwa ajili ya kiwanda cha mbolea kinachotarajia kutumia gas by-products!
5. Gas by-products inatumika pia kwenye uzalishaji wa Ammonia, and hence having a possibility ya kuwa na Ammonia Production Plants!
6. Gas by-products pia inatumika kuzalisha Methanol, and na hivyo kuwa na uwezekano wa kuanzishwa kwa Methanol Production Plants!!


Kumbe wakati Gas By-Products, pamoja na mambo mengine inaweza ku-stimulate uwekezaji kwenye Methanol Plant, methanol inayozalishwa pia inaweza kuchochea uanzishwaji wa viwanda vingine kama vya kutengeneza plastics, paints, n.k!!

Hiyo ni Gas Project, ambayo hata ikichukua miaka 10-15, outcome ndo hiyo hapo juu!!

And in fact, hiyo ni sehemu tu kwa sababu mtu akitaka kuizungumzia Gas Industry kiuchumi na kwa mapana zaidi, basi atalazimika kutuilia na sio kwa kudandia posts kama hivi!!

Hapo itatakiwa kujadiliwa kiundani, especially, Midstream and Downstream industries na kuoanisha both industries (mid and downstream) with a LOCAL CONTENT!

Haya, nipe hapa mchanganuo wa kiuchumi wa Bwawa la Nyerere unaoweza kuleta angalau 10% of Multiplier Effect inayoweza kupatikana kwenye Gas Industry!!

Na kukumbusha tu ni kwamba, tunakaribia miaka 5 sasa tangu mradi wa Bwawa la Nyerere uanze, na bado hujakamilika, na ukamilikaji wake is subjected to fund kwa sababu tunategemea kukopa, unlike kampuni za mafuta na gas ambazo zina uwezo mkubwa zaidi ya kufanya funding kulinganisha na sisi!

Anyway, endeleeni kukejeli kila kitu kwa sababu tu Mungu Mtu wenu Magufuli hakutaka kufanya!!
Halafu kwanini uandike na kuchambua mada kisomi baadaye umalizie na kujaza chuki zako?

Kubwabwaja kwako tu hapa theoretically tayari unajiona matawi kuliko hata Magufuli aliyelifanyia taifa makubwa!

Umelifanyia nini taifa wewe mpaka uthubutu kumkejeli marehemu Magufuli!

Nilivyosoma sentensi ya mwisho uliyoibold nikajuta hata kusoma comment yako.

Binadamu wa ajabu sana kwa kweli!
 
Back
Top Bottom