Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,318
- 8,229
Sio kweli,Popote Kwenye gesi mafuta pia yapo
Sio kweli,Popote Kwenye gesi mafuta pia yapo
Mbowe atafungwa maishaTujadili hukumu ya mbowe itakuwa kunyongwa au kifungo cha maisha?
Unacho kipinga ndio mfano halisi ya wana JF wengi, unao wataka wapo lakini ni wachache.Sasa umeleta hapa kama taarifa au tujadili hii mada. Jamii forum ya siku hz , hata mtu akiongea na mpenzi wake wameleta huku, mbona zamani ilikuwa ni mada za kujenga. Jf walipeni watu fedha wawe wanaleta mada za maana sio hz za ujinga ujinga
Mabeberu Tunayatafuta Sisi Wenyewe
Chifu,Hivi maana yake sasa hivi tunahama kutoka bwawa la nyerere na kuingia kwenye gasi tena ?
CCM hawataifikisha nchi hii popote wallahi
Kwa nn mkuu. Nasikia Chato kuna mafuta ndiyo maana mkuu akaamua iwe mbuga ili mafisadi wapate tabu kupata vibali vya uchimbajiacha utani,
Umesikia wapi hii.Kwa nn mkuu. Nasikia Chato kuna mafuta ndiyo maana mkuu akaamua iwe mbuga ili mafisadi wapate tabu kupata vibali vya uchimbaji
Mtu aliyekuwa karibu na mwendazakeUmesikia wapi hii.
Toka waziri huyu mpya ameingia madarakani msukumo wa kumaliza hili bwawa ni mdogo sana.Chifu,
Hii ni miradi miwili TOFAUTI kwa 100%...
Bwawa la Nyerere is just for uzalishaji wa umeme...
Gesi inayozungumziwa hapa ni "tofauti" na ile gas ambayo kwa sasa ndo inautzalishia umeme (Gas ya Msimbati na Songosongo)!
Gas inayozungumziwa hapa bado haijaanza kuchimbwa, na ni mradi mkubwa sana! Ni ile gas ambayo, processing plant peke yake, as June 2015, ilikuwa ijengwe kwa USD 30 Billion!!
Ni ile gas ambayo Muhongo aliwaambia akina Mengi kwamba wana pesa ya kuuzia juice tu, lakini hawana ubavu wa kuwekeza kwenye gas!!
Sema mimi binafsi, nilikuwa in favor na huu mradi kuliko Mradi wa Bwawa la Nyerere kwa sababu Mradi huu unaweza kutupatia kile tutakachopata kutoka Bwawa la Nyerere lakini Bwawa la Nyerere haliwezi kutupa kila kinachoweza kupatikana kutoka kwenye mradi wa gesi!!
Ingawaje nami nilikuwa napendelea zaidi gesi kulinganisha na Bwawa la Nyerere, lakini kwa hapa tulipofikia kutelekeza mradi itakuwa ni ujinga uliopindukia!!!Toka waziri huyu mpya ameingia madarakani msukumo wa kumaliza hili bwawa ni mdogo sana.
Naona kila akiamka anawaza gesi tu.
Instincts zangu zinaniambia mradi wa bwawa la Nyerere utatelekezwa tusubiri bajeti ijayo tutaona haya maajabu.
Mwelekeo wa serikali huangaliwa kwa statements za viongozi.Ingawaje nami nilikuwa napendelea zaidi gesi kulinganisha na Bwawa la Nyerere, lakini kwa hapa tulipofikia kutelekeza mradi itakuwa ni ujinga uliopindukia!!!
Mradi tayari umeshakula pesa nyingi sana, tena za mkopo!! Katika hali kama hiyo, kuute kuutelekeza itakuwa ni ujinga wa kiwango cha reli!!
Hata hivyo, kisichowezekana popote pale duniani, Tanzania kupitia CCM kinawezekana!!!
Degree zenyewe hizi za C & P toka vitabuni! Wasomi wa Tz hata mawazo mapya tu hawawezi leta kwenye jamii.nimetafakari nkaona kuna watu wanazingua , hivi mtu analeta mada kama hii Tujadili nini sasa ???
Hii JF siku hizi ishakuwa FB ,nashauri waweke utaratibu kuanzia mtu mwenye degree ndo awe na uwezo wa kutoa uzi na si vingine
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Yes, transparency and integrity.Uwazi ndio muhimu, hasa kwa mradi mkubwa kama huo wa LNG,lakini cha zaidi kampuni kongwe,maarufu na kubwa duniani. SHELL kwenye mradi huu.
SHELL ina uwezo na uzoefu wa miradi sampuli hii karibu kila pembe ya dunia.Tunachosubiri ni kuona maslahi mapana ya taifa letu yamezingatiwa kabla ya mradi kuanza.
Sawa, yatachimbwa pia na kwenye masaburi yakoUchimbaji wa mafuta kwenye bunga za wanyama uanze haraka
USSR
Wewe inabidi ukajifunze tena maswala ya ‘Oil and Gas’.Sio kweli,
Offshore reserve yoyote ya mafuta mengi ina gas kidogo, vice versa ya gas nyingi ina mafuta kidogo.
In addition to several other by products kwenye distillation process.