Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

Muha ni mzoefu sana wa kuongea na taasisi kubwa kama IMF na world bank.

Bajeti zilipokuwa zikipungua ni yeye aliyekwenda New York kuongea na wakubwa wa dunia ili tupatiwe pesa.

..I wish wizara ya fedha ingekuwa chini ya makamu wa raisi.

..naamini "muha" akipewa uhuru wa kutumia taaluma yake, na chini ya uongozi mpya, anaweza ku-perform vizuri.

..pia watafute mzenji msomi more competent akam-replace yule naibu pale hazina.
 
Tuna angalia gharama mkuu
Unaacha kuangalia gharama zinaziliwa na wabunge hewa wasio wanachama wa chama chochote cha siasa(wale Covid19) kitu ambacho ni kukiuka katiba na ubadhilifu shahiri dhahiri lakini kwa unafiki raisi anapohudhuria mikutano ya maana na ya lazima unadai ni gharama.
Haujui kwamba mwenda jahanam alikuwa anaogopa mikutona ya aina hiyo lakini alikuwa akijificha kwenye kivuli cha kuwakilishwa na makamu wake hivyo hakuwa akiokoa gharama yoyote kwa kudai ya kwamba hasafiri nje ya nchi.
 
..I wish wizara ya fedha ingekuwa chini ya makamu wa raisi.

..naamini "muha" akipewa uhuru wa kutumia taaluma yake, na chini ya uongozi mpya, anaweza ku-perform vizuri.

..pia watafute mzenji msomi more competent akam-replace yule naibu pale wizarani.
Naibu atakuwa na uwezo ambao akiwa mbele ya watu hauonekani.

Kuna mama mmoja mzenji ni naibu pale afya, akiwa anasoma mpaka kichwa chote na chenyewe kinasoma, nikimtazama naibu fedha naona kama ana nafuu kumlinganisha na dada yake.
 
Muha ni mzoefu sana wa kuongea na taasisi kubwa kama IMF na world bank.

Bajeti zilipokuwa zikipungua ni yeye aliyekwenda New York kuongea na wakubwa wa dunia ili tupatiwe pesa.
Kuongea ukiwa mtumwa, umetumwa na slave master wako ni tofauti kabisa na kuongea ukiwa kiongozi ukihitaji kuonesha confidence ya kiuongozi kwa watu unaowaongoza.
 
Huyu mama hakaimishi? ndani ya miezi 3 ameshatoka zaidi ya mara 5

kwani kuna tatizo gani ulitaka atume waziri kwenye kikao muhimu hivi? Na ni jirani!! . Tuacheni ushamba kukaa nyumbani kila siku sio sifa kama huleti maendeleo Maraisi wa nchi zinazoendelea ni lazima usafiri hasa kwenye vitu muhimu
 
Kuongea ukiwa mtumwa, umetumwa na slave master wako ni tofauti kabisa na kuongea ukiwa kiongozi ukihitaji kuonesha confidence ya kiuongozi kwa watu unaowaongoza.
Dr Mpango yupo vizuri kichwani kwa maana ya uwezo wa kufanya maamuzi na utulivu wakati wa kuyafafanua.

Ni mtu ambaye ana maadili ya kiuongozi. Madame President hakukosea kumuamini.
 
Mnaye mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata, mwenyekiti wa halmashauri, mkurugenzi wa halmashauri, DAS, Mkuu wa wilaya, RAS, Mkuu wa mkoa, Waziri. Hao kama hawatoshi kuwafanyia kazi zenu hakuna mtu atatosha.
Safari na kuteua Hadi 2025.
 
Mnaye mwenyekiti wa kijiji, mtendaji wa kijiji, mtendaji wa kata, mwenyekiti wa halmashauri, mkurugenzi wa halmashauri, DAS, Mkuu wa wilaya, RAS, Mkuu wa mkoa, Waziri. Hao kama hawatoshi kuwafanyia kazi zenu hakuna mtu atatosha.
Kuna balozi wa nyumba kumi pia.
 
Back
Top Bottom