Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

Shujaa John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa rais wa karne, mwamba, jasiri, mbeba maono na mtekelezaji...

Tusimlinganishe Rais Samia Suluhu Hassan na JPM. Sisi tuangalie utekelezwaji miradi na ilani ya kurasa 303

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

Kazi iendelee
Hakuna wa kumfananisha mwamba, jiwe, JPM hata siku moja. Ngoja tuanze kula urojo huku chamwino ndio tutafurahi.

2025 tathmini itafanyika na ndio tutajua mwamba alikuwa jiwe kweli kweli.
 
Technically,

Huyu siye Rais kiongozi wa nchi anayetarajia kushika madaraka ya nchi baada ya mharibifu Magufuli kuondoka zake kwa kifo...

Huyu anapita tu. Yupo Rais aliyetabiriwa anakuja. Sifa yake kuu ni UCHA MUNGU...
 
naishia kucheka sana. Ngoja ninyamaze. Una wazo jema la katiba ila unambebesha lawama asiyehusika
Usiishie kucheka, toa mawazo uliokoe taifa. Tuliofikiri wana akili waliishia kutuletea rasimu ya 50/50 wanaume kwa wanawake bungeni.

Nashindwa kujua walikunywa mvinyo gani wakati wanatuandikia takataka hizi kwa posho ndefu tulizowalipa, badala ya kutueleza seriakali ya muungano ichangiwe vipi gharama zake kiuwiano.
 
Usiishie kucheka, toa mawazo uliokoe taifa. Tuliofikiri wana akili waliishia kutuletea rasimu ya 50/50 wanaume kwa wanawake bungeni.

Nashindwa kujua walikunywa mvinyo gani wakati wanatuandikia takataka hizi kwa posho ndefu tulizowalipa, badala ya kutueleza seriakali ya muungano ichangiwe vipi gharama zake kiuwiano.
Naomba nikupajike jina la Mheshiwa Gagnija. Yaani sijui walikuwa wanawaza nini wakati kuna mambo makubwa na ya msingi yanalihusu taifa. Na hela walikula. Mimi nitaanza kutema nyongo humu kuhusu katiba very soon.
 
Naomba kuuliza kwani alitoa hadi lini ripoti iwe imekamilika? Kuweni na subra..na kuhusu ndege mbona amekuta zimeshalipiwa tayari ..hana jinsi..kiufupi mama nitaanza kumpima mwakani cause atakuwa ndio anafanyia kazi bajeti na vipaumbele vyake..ila kwa sasa mwacheni ajipange kwanza kakutana na mamiradi mikubwa hela zinazokusanywa asilimia kubwa zinaenda huko..hapo labda atafute wafadhili kwa baadhi ya miradi kisha makusanyo ya kodi ndio aelekeze ndani kwenye uchumi
 
Sikosei nikisema Upinzani umekufa hakuna kabisa ccm pia nayo hamna kitu naiona 2025 yenye mpambano wavipofu watupu atakayepata ushindi mkubwa ni angalau yule mwenye fimbo strong
 
Wengi wao hao ni wale MATAGA FC!!yaani siku 50, tu ndio ushushe lawama zote hizo?, si bora hata huyu anakubali madhaifu, na kuwa tayari kuyarekebisha??yule aliyekuwa kila kitu anajua yeye miaka 5 amefanya nini?kubwa?hata leo hajaongeza mishahara lakini watu amewapa matumaini, sasa meko, unaulizia haki yako, UNATISHIWA??
Matumaini hewa
 
KUNA watu wengine sijui akili zenu zikoje...Huyu mama kachukua nchi majuzi tu...katika Mazingira ambayo ni magumu sana ...Kama amekuta Hamna Hela unataka afanyeje ili awe imara??

Alishasema Katiba Isubiri kidogo na bado kasema ataongea na Wanasiasa wengine muda upo mrefu lakini watu wengine mnaanza kumzodoa...

Muacheni huyu mama wa watu..Akiwa mkali mtasema ohh huyu katiri...Sasa wewe unaesema Katiba saiv wakati chadema wanasema wamekubaliwa kumuona wewe nani?? TATIZO NYIE WATU mnakera sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom