TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,627
- 2,272
Washauri wake wanapaswa kumshauri aache hii.. Asimame kama rais wa nchi na si mamaJana niliona aibu kweli kweli... kutamka mbegu hadharani niliona aibu kubwa..
Halafu mwanamke hajazidiwa Mbegu tu na mwanamme...
Kwa iyo sisi wanawake wametuzidi mayai...!!??
Aisee kusimama kuzungumzia maumbile kila siku ni kuonyesha bado kuna kutokjiamini mahali...
Halafu pia muda huisha pambania nchi,gender achana nazo.
Ukweli ni kwamba Mwanamke anayehangaikia sana usawa huishia kuwa Radical kwenye hayo mambo na kuwachukia wanaume..
Huwezi kupambana na asili wakati na wewe ni zao la hiyo asili..
Hata zikiwa awamu mbili Muda huisha. Mzee wa msoga mvumulivu sana.
Ndo maana kila siku anacheka tu...
Anajua kualign na Time.