Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,602
Ndo madhara ya kushindwa kutumia akili kwenye kukusanya kodi, matokeo yake nchi inakosa kodi za kutosha na kinachofuata ni kuomba mikopo.
Na wazungu wakikuona unapenda mikopo, ndo wanafurahi maana watakupa mingi sana ili ikuleweshe. Ukifuatilia nchi kama Zambia, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe zilianguka kwa style hii.
So umeandika vema, mikopo ni sumu kubwa sana saa nyingine