Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

Kila Rais anapoonekana amekosea wanasingiziwa wasaidizi wake akifanya vizuri anapongezwa yeye
Kwa huu unafiki wa watanzania usitegemee tanzania kupiga hatua
Yule mwanaume aliyelala chato ni mtu pekee tuliyepewa kuibadilisha tanzania kwa wakati huu ila Mungu alimwita mapema tuombe atokee mwingne
Mama zile ni kauli zake yeye na hasa anapokua anaongea kwa freestyle hayo ni matokeo ya mfumo wa malezi kuwa kuna baadhi ya kazi au michezo ambayo mwanamke akishiriki anaonekana wa ajabu kwaiyo kauli ya mama ni reflection ya malezi na mitazamo katika jamii ya kitanzania
 
Mnabore!!! Mnasifia Sifia mtu badala mumweleze ukweli ajirekebishe!! magu ametoka maccm yanaponda wakati alipokuwepo tukikosoa wanatusweka ndani nonsense kabisa! Nahuyu mnasubiri stole ndipo muongee kwasasa mnatafuta vyeo kwa kujipendekeza
Kuna sehem umeona nimemsifia mtu?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Rais alikuwa na ujumbe mpana zaidi kulinganisha na namna mleta mada alivyoamua kwa makusudi kuupotosha.

Aliongelea baada ya miaka ya mpira kuwa imemalizika hao wachezaji wa timu ya wanawake watakuwa wameshachoka hivyo watazamwe wanasaidiwa vipi miaka hiyo ya mbeleni.
 
Wewe ndio unamuwekea maneno mdomoni ,kwani alisema hayo unayomfafanulia? teuzi zimeisha ndugu pambana na hali yako
 
Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
View attachment 1903736
Sijaona shida na kauli yake kiukweli wachezaji wetu wa kike Wana sura za kiume hadi mwili inabidi wapimwe testorone level zao maana ni wanaume.
 
Kila Rais anapoonekana amekosea wanasingiziwa wasaidizi wake akifanya vizuri anapongezwa yeye
Kwa huu unafiki wa watanzania usitegemee tanzania kupiga hatua
Yule mwanaume aliyelala chato ni mtu pekee tuliyepewa kuibadilisha tanzania kwa wakati huu ila Mungu alimwita mapema tuombe atokee mwingne
Kuibadilisha kwa kuuawatu?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
BBC World Service yatangaza kwamba Rais Samia amewaita wachezaji wa timu ya wanawake wa Tanzania flat-chested na kuuliza wataolewa vipi.
 
Back
Top Bottom