Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

Kila Rais anapoonekana amekosea wanasingiziwa wasaidizi wake akifanya vizuri anapongezwa yeye
Kwa huu unafiki wa watanzania usitegemee tanzania kupiga hatua
Yule mwanaume aliyelala chato ni mtu pekee tuliyepewa kuibadilisha tanzania kwa wakati huu ila Mungu alimwita mapema tuombe atokee mwingne
Una maanisha yule jambazi? Sijaelewa kabisa!

Kama ni yule, umenoa! Afadhali Mungu alivyompenda zaidi kwani alishaleta nuksi!
 
Mama kaona mnamsema vibaya sana mtandaoni ,kaona awe kiburi asiwasikilize,ni normal reaction mnavyomponda haisaidii mambo, shaurini nini kifanyike kwa upole

Ila Kasema ukweli tunataka wanawake chuchu saa 6 au ziwa liwe ziwa kweli la kibantu ili wkt unapata chakula cha mtoto mambo yanakua mubashara.
 
Manung'uniko, mateso, masikitiko ya watu wanaodhulumiwa yanaanza kufanya kazi. Waache kabisa kudhulumu watu...ni mbaya...mwisho wa siku wote watakuwa wanademka kama dada Doro...
 
Back
Top Bottom