Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Take one action 😂😂😂

Anaona hakina Denzel Washington wanafaidi.

Tumepata mkulu ambaye multipurpose😄😄
 
Aiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
Maybe yeye ana ushawishi zaidi duniani kuliko hao wakina Diamond.
 
Badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi yeye yuko busy kutengeneza movie???

God save us
 
Badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi yeye yuko busy kutengeneza movie???

God save us
Hata hivyo ni mrembo sana ..... Anafaa mwache atengeneze movie Jiwe hakumtumia maana hakujua kipaji chake

Nb
Hiyo avata yako , huyo ni Gwajigirl kama sijakosea , alidukuliwa akifanya yake . Uko na vidio nitumie ......
 
Hapana sina video.

By the way hiyo avatar ni wewe ?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom