mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Wacha buana😅😅Usimwambie NTU yeyoyte utapoteza bahati
Wacha buana😅😅Usimwambie NTU yeyoyte utapoteza bahati
Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
Miezi miwili hii makelele mengi.
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.
Miezi miwili hii makelele mengi.
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.
Sio unafiki bro, ni woga! Yule jamaa alikuwa kama Dracula, ukiingia anga zake unapotea. Bora huyu ukimzingua mnazinguana! Ndiyo maana sasa unaona watu wanajiachia ki roho safi katika nchi yao!
Referee kwenye hiyo nafasi huwa wananchi wa kawaida sio JF kwa majority. Kauli za angekuwepo fulani haya mambo yasingekuwepo au tulishaanza sahau zinarudi kwa kasi mtaani.
Asilimia kubwa ya JF members awawakilishi maisha halisi ya watanzania ambao wengi hawapo kwenye ajira rasmi, wanafunzi au wakulima; wanaotegemea efficiency kwenye utendaji serikalini kupata nafuu ya changamoto zao
Muda unavyoenda wataongea, Magufuli aliwazoesha mazingira yanayotabirika, tunarudi kule kule kwenye uzembe wa mtendaji mmoja unaleta chain reaction yenye madhara kwa watu wengi sana.
Juzi TRA na server sijui kama washa sort, leo bandari, kesho TANESCO; kila siku jipya. Enzi za hayati sasa hivi ungeona mawaziri wanakimbilia kwenye media kabla mtu ajapoteza ajira, siku hizi mambo ya kazi na bata.
Watanzania siku zote wakipewa uhuru Wana uabuse wakinyimwa wanalalamika, kiufupi mama asisikilize kabisa kelele za mtandaoni, afanye anayoona yanafaa ili mradi iwe ni kwa nia thabiti ya kuiletea nchi maendeleo huku akifuata katiba bhasi. Watanzania ujuaji. Mwingi Sana pumbavu.Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
Rais ni taasisiEneo la kwanza ni kuheshimu katiba na sheria, hili ni eneo ambalo kama nchi tunataka kudumisha upendo na amani ni la kuzingatia kwa nguvu zote. Samia ameapa kulinda katiba asipofanya hivyo ni uhaini na lazima atakuja kuchukuliwa hatua bila kujali kinga za Urais. Mila na utamaduni wa Taifa lo lote hudumisha na kuimarishwa na katiba yake.
Eneo la pili na uhuru na haki ya wananchi wote bila kujali cheo cha mtu au nafasi yake katika jamii. Hivi sasa kuna watu wanajiona wana haki zaidi ya wengine na hivyo kufanya vitendo vya uonevu na dhuluma dhidi ya wengine. Kuna watu wanasota magerezani bila kuhukumiwa na wengine wamehukumiwa kwa uonezi na husda. Hii si sawa kabisa, Rais Samia anapaswa kuchukua hatua za haraka ikiwa ni pamoja na kuunda tume huru ya kijaji kuchunguza haki za wote waliopo mahabusu na gerezani.
Eneo la tatu ni kusikilizwa kwa maoni na vilio vya wananchi bila kujali itikadi zao za kisiasa. Pamoja na kuwa na katiba na sheria zilizopo lakini watu wengi wamekuwa wakiathirika na baadhi ya vifungu vya sheria hizo kwa sababu ni za uonevu na zimetungwa kulinda maslahi ya baadhi ya watu.
Aidha kuna sheria zimetungwa kudhibiti baadhi ya watu na vyama vya siasa bila kuzingatia haki zao za msingi za kikatiba. Kwa hiyo kilio cha kupata katiba mpya ambayo itaendana na wakati wa sasa ni muhimu kusikilizwa na pia kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi ambayo itatoa haki sawa kwa kila mtu na vyama vyote vya siasa.
Hadi leo bado hawajulikaniWewe ndiye uliufyata wengine tulimpiga spana mpaka akaanza kutumia wasiojulikana kupoteza watu!
sorry mama anapewa maagizo? na nani?Mama ana mikwara tu , amzingue nani ? Magufuli ndo alikua mafia sasa, magufuli hapelekeshwi kama Mama, Mama anapewa maagizo mengi Ndio maana inam cost hafanyi yeye kama yeye
Naunga mkono hoja yakoPls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
Hiyo taasisi ya Rais inaitwaje?Rais ni taasisi
Hao ndo wabongo,alivyokuwepo chuma midomo iliwekwa zipu,hata kufanya maandamano feki walishindwa,leo kidogo tu kelele kibao kama vile hata kwenye maisha yao wanaweza fanya mambo yote kwa mkupuoMiezi miwili hii makelele mengi.
Wakati watu mliu fyata kimyaa Kwa miaka mitano. Huu ni unafiki.
Comments reservedHiyo taasisi ya Rais inaitwaje?
Msamiati wa Rais ni taasisi ulianza enzi za marehemu Mkapa baada ya kuteua washauri wengi wa kumsaidia katika nyanja mbalimbali.
Alipokuja Kikwete hakuwahitaji sana washauri na badala yake kama aliona mtu fulani anafaa katika kusimamia eneo fulani alimteua katika nafasi ile. Kumbuka aliwahi kusema " Urais wangu hauna ubia na mtu ye yote".
Kipindi kilichopita cha Magufuli washauri hawakuwa na kazi yo yote kwani hakuna aliyeaminiwa na kazi zote alifanya mwenyewe hata za mawaziri!
Hivi sasa msamiati huu umeanza kurudi baada ya Rais Samia kuteua watu kadhaa kama washauri wake katika masuala mbalimbali.
Kwa kifupi hakuna taasisi ya Rais bali kuna mtu Rais ambaye yeye ni kila kitu katika kuongoza nchi.
Yaani kaandika maoni kama anamshuri jiwe na sio Samia au mi ndo sijui kusoma vizuri.Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
sorry mama anapewa maagizo? na nani?
rais anapewa maagizo na nani?
Sasa mbona mliufyata?!! Unacheza na uncle Jiwe nini?Wewe ndiye uliufyata wengine tulimpiga spana mpaka akaanza kutumia wasiojulikana kupoteza watu!