Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,551
- 19,419
Usidhani kuwa mtu kutokuwa mwanasheria hajui sheria na katiba; sheria siyo sayansi. Ndiyo maana watu kama Abraham Lincoln, John Quincy Adams, na Andrew Jackson walikuwa wanaijua sana katiba na wala hawakusomea sheria.Wewe ni wakili au mwanasheria? Km sio tafuta hao watu wakueleweshe ndugu mbona mbishi. Ivi we kabila gani kwanza mana niliekezwa kwani watu ukibishana nao inapotea mda tu.
View attachment 1765312