Rais Ruto asema Uhuru Kenyatta aliharibu Uchumi wa Kenya

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,608
Rais wa Kenya, Dkt. William Ruto amemshutumu Mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kwa kusabaisha mzozo wa Kiuchumi na Kiusalama, ambao alisema alihitaji muda kurekebisha, huku akianzisha mipango ya kumalizia Mabwawa na Miradi mingine ambayo alisema ilisitishwa kwa sababu za kisiasa

Amesema, “Wapinzani wetu waliiharibu Nchi hii na sasa watupe nafasi ya kurekebisha fujo zao. Walikuwa na Miaka Mitano ambayo walitumia kuharibu kila kitu Nchini: Walituacha na #Uchumi duni, Nchi iliyojaa Madeni, Usalama uliodorora, Jeshi la Polisi kuwaua watu badala ya kuwalinda”

……………….


President William Ruto Sunday accused his predecessor Uhuru Kenyatta of presiding over an economic and security mess, which he said he needed time to fix, as he rolled out plans to finish dams and other projects whose construction he said were stopped due to political reasons.


For the second day running — first in Kirinyaga on Saturday and yesterday in Kericho — Dr Ruto said President Kenyatta and his preferred successor Raila Odinga had messed up the economy and the security sector. He said the two leaders had no right to criticise him as he sought to fix the mistakes.

“Our opponents, former competitors, should give us a break. They destroyed this country and they should now give us a chance to fix their mess. They had five years which they used to destroy everything in the country: They left us with a dilapidated economy, a debt-laden country, a deteriorated security, a police force out to kill the people instead of protecting them,” Dr Ruto said in Kericho County.

Chanzo: Nation.Africa
 
Small mind discuss people. Njoo na idea za kujenga na sio fulan kafanya nini JPM alitumia muda mwingi kumponda JK
 
Small mind discuss people. Njoo na idea za kujenga na sio fulan kafanya nini JPM alitumia muda mwingi kumponda JK
Ruto asijisahau Sana.Serikali iliyopita yeye alikuwa makamu wa rais.Ruto hakuwa mpinzani wa serikali ya Uhuru.Akubali kuwajibika kurekebisha makosa waliyoyafanya pamoja.Makosa ya serikali ya kikoloni Nyerere aliyarithi huku akijenga mahusiano mazuri na Uingereza.Hakukaa kuanza kuwananga.Kampeni zikishaisha,tunakuwa wamoja tunajenga nchi.Kumnanga mtangulizi wako kwakuwa Sasa una madaraka haifai.Kama Uhuru angekuwa mbaya kama Ruto asemavyo ,Ruto Leo asingekuwa hai ama angetiwa kilema .Yuko wapi JMK,Tom Mboya,Obama Sr na Robert Ouko?Ni nani anaweza kupinga kwamba serikali haikuhusika na vifo vyao? Tanzania,yaliyompata Ben Saa nane ,Azory Gwanda ,Tundu Lissu na wengine ,kuyatenganisha na serikali ya wakati huo,ni sawa na kutenganisha mchanganyiko wa maji ya mvua iliyonyesha bahari ili update maji ya mvua na maji ya bahari.
 
Back
Top Bottom