mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Itakuwa kapandikizwa na jiwe akaibe Randi za huko ili tuwe donor country
Aliyestaafu!Huyo huyo Ndullu aliyeshindwa BOT 😲
Hivi Mshauri wa uchumi wa JPM ni nani? Au je JPM ana Baraza la ushauri wa mambo UA uchumi?
Makonda, Happy, Jerry Muro nkHivi Mshauri wa uchumi wa JPM ni nani? Au je JPM ana Baraza la ushauri wa mambo UA uchumi?
Nabii hakubaliki kwaoProf. Ndulu kwetu ni jobless baada ya kustaafu BOT. Daaah! Wenzetu sijui wamemwonaje?! They must have professorial eye.
Congratulations kwake, Smart leaders always hire Smart Brains. You are what you choose
Baraza la Biashara la Taifa.Hivi na sisi tuna baraza?
Kama lipo mbona sijawahi kulisikia.
Hana mshauri yeye anajua kila kituHivi Mshauri wa uchumi wa JPM ni nani? Au je JPM ana Baraza la ushauri wa mambo UA uchumi?