Rais Ramaphosa kuitisha mkutano wa marais wa SADC wakati akijua Tanzania ndio Mwenyekiti, kitendo hiki hakifanani na mapinduzi ya kuondoa kiongozi?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,959
20,529
Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA
 
Je hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?
JPM ameipoteza Tanzania kwenye mahusiano ya kimataifa. Rais atakaye mrithi atakuwa na kazi ya kuirudisha nchi hii kuwa babalao tena kwenye nyanja za kimataifa kama ilivyokuwa enzi za akina Julius, Ali, Benjamini na Jakaya.
 
Daah watu weusi tuna laana gani?
Je hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti hana uwezo wa kuongoza vikao, maana amezoea kwenye vikao na mawaziri wake kufoka na kulaumu, hawezi kusikiliza.. anaayo taka yeye ndio anataka yafanyike.

Africa mashariki ndio Rais dhaifu zaidi.

Unakumbuka ziara ya zimbabwe hadi Rais wa zimbabwe ikabidi amsaidie maana alikua very local ..

Kina press interview moja walifanya uganda wakiwa na mseven , ikabidi mseven awe anajitahidi kujibia maadhi ya mambo.

Tatizo anataka kuonekana amesoma lakini elimu yake haionekani

Huwezi soma hadi phd kwa kingereza lakiji bado huwezi kuongea kwa ufasaha.
Je hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu! Tumuombe tu Mungu Corona imuondoe yule jamaa wa chattle kwa sababu kwa siasa za Tanzania zilivyo ukisema atawale tena miaka mitano ijayo itakuwa ni sawa na kuirudisha Tanzania zama za mawe!
 
Back
Top Bottom