chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,983
- 20,631
Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?
Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao
Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?
Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?
Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA