Rais punguza safari, jikite kujenga nchi

Ila kwa huyu tumepigwa tena tumepigwa kisawasawa. Yaani yeye ni kusema amealikwa...sasa wanawake wakialikwa hata birthday wanalundikana kushiriki ndio kazi za wanawake wa kiwani na kizanzibari. Wasisikie mualiko wowote lazima wafike...andaa hata sherehe ya mtoto kufaulu darasa la nne kuingia la tano..alika watu. utaona mijitu na umri wao inahudhuria ndio kazi wanazoziweza. Samahani kwa niliyoyaandika ila kuna wakati tunakeleka sana....
Wakazi wa dodoma amewaweka kwenye foleni zaidi ya lisaa limoja likimsubiri mtu mmoja apite sasa raia hawana hamu na huyo kiumbe
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Kwani hizo safari zake sio sehemu ya kujenga nchi?
 
Akirudi hao mafisadi hawezi kupata taarifa zao?
 
Tuwe wakweli kila kitu kina gharama

Kukaa ndani kuna gharama,

Kusafiri kuna gharama,

Swali la muhimu ni kipi kinaleta faida zaidi, kujifungia ndani au kusafiri.
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Acha ujinga mama hasafiri bila faida

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Makini sana ,acha azibe masikio
 
Kila mtu ana mtizamo wake. Asiposafiri mara ooh tunajifungia ndani dunia haitufahamu! Tunaanza kurusha clips Raisi wa Kenya akiwa nje ya nchi! Mara ooh lugha ndo Kikwazo rais wetu hataki kusafiri nje ya nchi anawakilishwa tu. Sasa kaja mwenyewe akaona ajena diplomasia kama Rais wa nchi. Mmekuja tena na hizi ngonjera. Hebu kuweni walau na msimamo wa kauli zenu yaani hadi mnakera maana hamueleweki nyie ni baridi au moto? Mh Tais ashatolea suala hili maelezo.
 
Lakini zuchu si alisema tanzania imejengeka kokote na mwendazake sasa leo tunajenga nini tena.

Sisiyemu ni adui wa maendeleo

kwahio mkuu maendeleo yote ya nchi yanatakiwa kuletwa na ccm peke yake? hii inamaanisha hujui nn maaana ya maendeleo ya nchi
 
Nawasalimu kwa Jina la Mungu muumba wa mbingu na ardhi.

Jamani, kusafiri ni jambo jema katika kujenga diplomasia na mahusiano ya nchi na nchi. Haipingwi wala haina neno.

Lakini hii kutwa mama wa nchi kukimbizana angani kila wiki inakuaje?

Leo yuko Scotland, kesho Cairo, kesho kutwa Ubelgiji!! HAPANA.

Kitu chenyewe anachokifuata huko ni kujadili kuhusu sijui wingi wa joto angani!!

Jamani, mama yetu tunakupenda sana. Wazungu wako mbali mno, wana muda wa kujadili petty issues. Wewe huo muda hauna.

Wazungu walishajenga nchi zao, sasa hivi wamebaki kujadili kuhusu masuala mepesi mepesi, mara sijui joto angani, mara sijui hali ya upepo jangwa la saharaa!!

MAMA, achana na hao. Jikite kujenga TANZANIA. Maji, Umeme, Ajira, Bei ya bidhaa, Kilimo, Miradi, Miundombinu, usafirii...

Acha mambo ya kubembea Ulaya, hayakusaidii wala hayaisaidii nchii.

Tunakupenda sana na tusingefurahi uharibikiwe. Jenga nchii, jenga uchumi utaepuka kukopa kopa hovyo na kutengeneza tozo za ajabu ajabu zisizoeleweka kisheria wala kimantiki.

Raise taxes, madini simamia, maliasilii, nidhamu kazini na maofisini, pambana na ufisadi. Jenga nchi.

Itakusaidia. Wazungu hawawezi kukujengea nchi. Watakupiga bao wakati wewe unazubaa angani na hiyo midege kila wiki... angani... vuuuu.... vuuuu .... vuuuu... vuuuu...nenda rudi... vuuuu .... vuuuuu... kila wiki... vuuuu .... vuuuu... vuuu....

Wao wanasomba madini, wewe unabembea kwenye ndege. Mafisadi yanaitafuna nchi wewe uko angani unaenda kunywa juisi Ulaya.

Ngoma ikivuma sana iko mbioni kupasuka.

Wasalaam.
Umeongea point tupu lakin umeharibu pale uliposema "Mama yetu tunakupenda" labda kama mnampenda nyie sis wengine hatumo humo kwenye yetu....
 
Mimi najua Watanzania wananipenda ,na wanipenda Kwa mazuri na siyo Kwa mabaya na Nataka niwambie Ipo siku mtanikumbka,,(maneno ya Mzee mmoja alikuwa anapenda Sana familia yake majungu yakafanyika kilichotokea kikatokea ......
 
Very true!
 
Foolish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom