CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,983
- 4,080
- Thread starter
- #41
Nina hao wengine kama sio CCM?
Hoja ipi wewe!? Tangu lini maccm mna hoja? Acha KUKURUPUKA!!!
Hoja ipi wewe!? Tangu lini maccm mna hoja? Acha KUKURUPUKA!!!
Nani akawekeze Rwanda wewe mda wowote kinanuka watu wanammezea mate ya akili PK na ubabe wake,,, hizo record ni kwenye makaratasi tu, shukuru upo bongo unaishi kwa amani tena unamkosoa mpaka rais humu jf.rekodi zinaonesha ndio nchi nzuri kwa uwekezaji Africa Mash,
Achana na wapumbavu Mkuu,,ujifungie ndani Ili uvumbue nini ? Unless huna akili..Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59|Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je,Niushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu.
Hii ni kweli kabisa nina boyfriend wangu mnyarwanda aisee tukipiga story zinazohusu rwanda basi ataongelea mazuri tu nikimchimba chimba utasikia Cherie tuache ongelea hizo mambo huku akicheka kinafiki Namuona kabisa vile amekosa freedomNani akawekeze Rwanda wewe mda wowote kinanuka watu wanammezea mate ya akili PK na ubabe wake,,, hizo record ni kwenye makaratasi tu, shukuru upo bongo unaishi kwa amani tena unamkosoa mpaka rais humu jf...
Hii ni kweli kabisa nina boyfriend wangu mnyarwanda aisee tukipiga story zinazohusu rwanda basi ataongelea mazuri tu nikimchimba chimba utasikia Cherie tuache ongelea hizo mambo huku akicheka kinafiki Namuona kabisa vile amekosa freedom
Uko sahihi 100%√Jibu Mswali haya kwa Ukamilifu,
1.Rais Mnyenyekevu Africa -SAMIA
2.Rais mpole Africa -SAMIA. √
3. Rais mchamungu Africa -SAMIA √
4. Rais rafiki wa wananchi wake Africa -SAMIA √
5. Rais Chaguo la Watanzani 2025-2030 -SAMIA √
Siku hizi kila kitu ni kujilinganisha na Rwanda. Upumbavu kabisa!Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59|Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona,Je,Niushamba,Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu...
Siku hizi kila kitu ni kujilinganisha na Rwanda. Upumbavu kabisa!
Kwa ufupi mleta mada anaonekana kumuhujumu Mama. Hili halikubaliki.elimu kwa wanaohoji kuliko kutoa hii mifano
Tanzania kuifananisha na Rwanda kwa vyovyote vile, ni kutuvunjia heshima, na nidharau na kejeli kwa CCM chama tawala toka tupate Uhuru.
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,Nyie ndo mnaishi Kwa kujilinganisha na jirani utakufa sio kila kitu sifa .
Idadi sio shida je kilichompeleka kina umuhimu hadi yeye aende nin majibu wa balozi wawakilishi kwani hakuna .
Mnofu wewe
sawaMitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,
________________________________
Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,
Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,
#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??
.........Kazi iendelee.........