Rais Paul Kagame ndie Rais bora kwa sasa

Hivi baada ya kuandika umerudia kusoma ulichoandika! Kwanini ukubali kuonyesha kipimo cha ujinga wako bila aibu? Nini umeandika sasa? Hivi unadhani huku JF ni Facebook? Nimeogopa ban nilikuwa nikwambie neno ungeenda kutafuta dawa ya panya
 
Ni kweli. Si unaona hadi rais wako ana-desa kwake. Inabidi na yeye aende depo ili anapovaa Yale magwanda maana inaelekea anayependa sana awe anastahili kweli kama mwenzake.
 
Ni kweli kabisa ndiyo maana wanatuletea wataalamu mbalimbali kutufundisha, bado wataanza kutrain na polisi wetu
 
N
***
"wapo waliotaka Rwanda isitulie sasa wameshindwa kabisa,na kamwe hawata weza kuandika lolote jema Juu ya PK.
Ni sahii unavyesema mkuu, ila usiweke jicho pembeni kwa lisemwalo..Lipi Huyu pk pia kumbuka alikuwa na issue na jk ambaye pia alikuwa raisi wetu. So pia naona kama kwanza tungeenda kwake na umakini sio wa kawaida.. Anyways ni mtazamo tu
 
WAT WE DO IS PICKIN ITS BEST ACHIEVED ISSUES.
 
Hivi baada ya kuandika umerudia kusoma ulichoandika! Kwanini ukubali kuonyesha kipimo cha ujinga wako bila aibu? Nini umeandika sasa? Hivi unadhani huku JF ni Facebook? Nimeogopa ban nilikuwa nikwambie neno ungeenda kutafuta dawa ya panya
we nini wewe acha chuki za kijijnga haogopwi mtu bali anakingwa. jamaa yuo poa sana
 
ukimuacha Muamar Gaddafi huyu mjeda anafaa kufata sijaona mtu shujaa kama yeye kwa sasa tunaona nchi yake inavyoendelea. alivyotoa msaada mkubwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni hadi kuingia madarakani na pia kupewa cheo cha senior commander wa intelenjinsia Uganda ni cheo kikubwa sana ikizingatiwa yeye alikuwa Uganda kama mkimbizi. akapigana rwanda genocide na akasema kama vita haitaisha ataendeleza civil war na hatimaye ikaisha. akawa makamo wa rais na pia waziri wa usalama chin ya Rais pasteur Bizimungu aliejiuzulu baadae baada ya kuona hana nguvu katika serikali.

Huyu jamaa ana akili bana na anaona mbali hiki kichwa ni chakuogopa mno.

kaweza kuleta amani Rwanda na kuifanya kukua sana kiutajiri na kusaidia kuondoka utawala wa diktete wa muda mrefu wa Zaire seseseko mobuto kwa kushirikiana na Uganda.

Naweza kusema huyu ndie shujaa wangu wa sasa baada ya kuuawa kwa babu yangu colonel Gaddafi. na sasa Wananchi wa Libya wanaona dhambi ya usaliti kwani Gaddafi kawatoa mbali mno ikiwa ni pamoj na kupigana na nguvu zote kupinga wanyonyaji/wazungu na wamarekani.

Siku zote ukiwa kamanda wa kweli utapambana hadi mwisho.

Nampongeza huyu PK.

Kama mwanaume inapaswa upambane bana na ubaki katika kitu unachokiamini.

Hongera kagame ila nakuogopa sababu una mbinu za kivita na akili nyinyi na ndivyo inavyopaswa kuwa nakuheshimu mzee.

Achana na hawa watu uchwara wanaoendekeza ngona na starehe huku wanauwa wananchi wanafiki tuu hawa.

Rwanda ipo hapo ilipo sababu ya jitihada zako mkubwa.
Wewe ni mshabiki tu na nimeona usivyojua kitu na ulivyo mweupe kwenye history ya kagame tangu alipokuwa belgium na aliingiaje madarakani baada ya kufanya njama na kumuua bosi wake Major Gen. Fred Rwegyema kwa kumtumia sniper lt kato, na hujui hata huyu rwegyema pia alikuwa kwenye jeshi la ukombozi wa uganda wakati huo museveni alikuwepo pia ambalo lilishirikiana na jeshi la Tanzania kumfukuza id amini na pia hujui kwa nini jeshi la Rwanda lilishirikiana na uganda kuvamia wakati ule nchi inaitwa zaire kumng'oa Joseph wazabanga mobutu seseko. halafu leo jpm bila kujua anashirikiana na kagame wakati mtu huyu ni mjanja sana na hawezi kumsaidia kitu. Nakushauri nenda kwa mzee wa msoga ambaye pia alikuwa mjeda na anamjua vizuri kagame. Kama hujui kitu nakushauri kaa kimya
 
Kagame ni dikteta..Unataka nchi yetu iwe hivyo?? Ingawa na sisi tuna vi-element vya kikidikteta lakini hatujafikia Rwanda. Ni kweli wanaendelea vizuri lakini nchi yao ni ndogo pia.
 
Mkuu soma huu uzi...kagame sio mtu unavyodhani kabisa.. Huyu ni Mafia...

http://www.globalresearch.ca/u-s-u-n-cover-up-of-kagame-s-genocide-in-rwanda-and-congo/21127
mkuu huyu jamaa namfahamu vyema sawa kuna mambo mabaya kayafanya wakati anapigania anachokiamini na ndo kaifikisha Rwanda hapo ilipo. sasa unadhani hakuna mema ambayo kaifanyia nchi yake acha zako bwana kama kacheza na damu za watu poa tuu ila ni katika harakati za kupigania anachokiamini na ndo maana leo Rwanda imetulia.
mbona nchi za ajabu wanauliwa tuu na hamna maendeleo yoyote. big up PK naona watu hawayaoni mema yako.
 
Wewe ni mshabiki tu na nimeona usivyojua kitu na ulivyo mweupe kwenye history ya kagame tangu alipokuwa belgium na aliingiaje madarakani baada ya kufanya njama na kumuua bosi wake Major Gen. Fred Rwegyema kwa kumtumia sniper lt kato, na hujui hata huyu rwegyema pia alikuwa kwenye jeshi la ukombozi wa uganda wakati huo museveni alikuwepo pia ambalo lilishirikiana na jeshi la Tanzania kumfukuza id amini na pia hujui kwa nini jeshi la Rwanda lilishirikiana na uganda kuvamia wakati ule nchi inaitwa zaire kumng'oa Joseph wazabanga mobutu seseko. halafu leo jpm bila kujua anashirikiana na kagame wakati mtu huyu ni mjanja sana na hawezi kumsaidia kitu. Nakushauri nenda kwa mzee wa msoga ambaye pia alikuwa mjeda na anamjua vizuri kagame. Kama hujui kitu nakushauri kaa kimya
mkuu uko sahhih embu shusha unayoyajua kuhusu huyu bwana na mimi nishushe yangu ili twende sawa maana unataka kuniambia sina nachokijua. mimi nimeandika kwa kifupi nikianza kuandika nadhani patajaa hapa lakoni kwa kuwa wewe unajikuta mjuaji basi anza yako kuhusu huyu bwana na mimi nilete yangu mana mimi sipendagi upuuzi
 
ukimuacha Muamar Gaddafi huyu mjeda anafaa kufata sijaona mtu shujaa kama yeye kwa sasa tunaona nchi yake inavyoendelea. alivyotoa msaada mkubwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Museveni hadi kuingia madarakani na pia kupewa cheo cha senior commander wa intelenjinsia Uganda ni cheo kikubwa sana ikizingatiwa yeye alikuwa Uganda kama mkimbizi. akapigana rwanda genocide na akasema kama vita haitaisha ataendeleza civil war na hatimaye ikaisha. akawa makamo wa rais na pia waziri wa usalama chin ya Rais pasteur Bizimungu aliejiuzulu baadae baada ya kuona hana nguvu katika serikali.

Huyu jamaa ana akili bana na anaona mbali hiki kichwa ni chakuogopa mno.

kaweza kuleta amani Rwanda na kuifanya kukua sana kiutajiri na kusaidia kuondoka utawala wa diktete wa muda mrefu wa Zaire seseseko mobuto kwa kushirikiana na Uganda.

Naweza kusema huyu ndie shujaa wangu wa sasa baada ya kuuawa kwa babu yangu colonel Gaddafi. na sasa Wananchi wa Libya wanaona dhambi ya usaliti kwani Gaddafi kawatoa mbali mno ikiwa ni pamoj na kupigana na nguvu zote kupinga wanyonyaji/wazungu na wamarekani.

Siku zote ukiwa kamanda wa kweli utapambana hadi mwisho.

Nampongeza huyu PK.

Kama mwanaume inapaswa upambane bana na ubaki katika kitu unachokiamini.

Hongera kagame ila nakuogopa sababu una mbinu za kivita na akili nyinyi na ndivyo inavyopaswa kuwa nakuheshimu mzee.

Achana na hawa watu uchwara wanaoendekeza ngona na starehe huku wanauwa wananchi wanafiki tuu hawa.

Rwanda ipo hapo ilipo sababu ya jitihada zako mkubwa.
Sijui nini hata ulichokiandika au ulicho kusudia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom