Rais Paul Kagame atishia kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Ufaransa

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,193
6,381
Rais wa Rwanda ,Paul Kagame ameonya kuhusu mahusiano ya kidiplomasia na Ufaransa kufuatia tangazo la wachunguzi wa Ufaransa kwamba watafungua upya uchunguzi kuhusu mauaji ya aliyekuwa rais wa Rwanda Juvenal Habyarimana.

Kutunguliwa kwa ndege yake iliokuwa na wafanyakazi wa Ufaransa mwaka 1994 ilizua mauaji ya kimbari ambapo mamia ya maelfu waliuawa .

Uchunguzi huo umeanzishwa upya ili kupata ushahidi kutoka kwa jenerali aliyekimbia Rwanda Faustin Kayumba Nyamwasa ambaye anasema kuwa rais Kagame alihusika . Kagame alikuwa Kiongozi wa waasi kipindi ndege hiyo inatunguliwa. Jenerali Nyamwasa aliwahi kuwa Chief of staff wa jeshi la Rwanda na amenusurika kuuawa na watu wanaodaia kiwa majasusi kutoka Rwanda akiwa Afrika ya Kusini ambako ameomba hifadhi baada ya kutofautina na Kagame na kukimbia Rwanda.

Mwaka 2006,Rwanda ilikata uhusiano wake na Ufaransa kwa miaka mitatu baada ya jaji kumtaka rais Kagame kujibu mashtaka.

========

pkl.jpg

President Paul Kagame Speaking at launch of Judicial Year 2016-2017

President Paul Kagame has said he is ready to start all over again the inquiry on the air rocket attack on the jet of Rwanda’s former President Juvenal Habyarimana as suggested by France but this time he is ready for a showdown which won’t cost Rwanda anything.

In 2012, an investigation by French Magistrate Marc Trévidic found beyond reasonable doubt that a plane which was carrying the President was shot down by a missile from Kanombe military barracks.

The findings were applauded by French officials who even dismissed a previous report by another French judge Jean-Louis Bruguière who, in 2006 had blamed the plane airstrike to Rwanda Patriotic Front (RPF) Inkotanyi.

Kagame said that the news in the media has already started insinuating France’s intentions of not giving up on the fracas against Rwanda even when Rwanda had cooperated in the beginning paving way for thorough investigations in a case which took slightly over two years.

“After investigating the case for two years, not finding anything, they want to start all over again. I have no problem with that. But starting again means a lot—first that this Rwanda and the Rwandan judicial system is not subordinate to France and France’s system,” Kagame said.

“We will start all over again for more than three times,” Kagame said adding that Rwanda has been abused several times on this matter, first when it accepted to have a case it shouldn’t have had and second when it allowed France the benefit of doubt, but the latter still took it for granted.

“If starting over again is a showdown, we will have a showdown and don’t worry it will not cost us much. When it is your right, it is never going to cost too much to do the right thing,” he said amidst applause of hundreds magistrates and officials at the launch of Judicial Year 2016/17 today.

Kagame said that France should be the one to dock to be tried for genocide not anybody in Rwanda and Rwandans.

“Don’t worry this is a case that is going to be sorted out and Rwandans won’t be victims. This is going to be sorted out without much cost on our side,” Kagame said.

The president also said revisiting the case would lead to diplomatic standoffs between the two countries as it was earlier at the beginning of the case where France was represented by Belgium after the French embassy was closed.

“Starting all over again means, I will ask diplomats around here, remember in the old days when instead of going for visa in the French embassy you would go to another embassy because that country was representing France interests here, am asking one who did those services to do it again.”

The president brought a context to this undermining of France, and said it is the behavior of some countries that think, they have power to decide for others.

For Prof. Sam Rugege, the Chief Justice, “Some people think that our laws are not to the standard of other countries and have been treating us unfairly, especially when it comes to politicians.”

Yet he said, “The reality is, no politician can be exempted from the laws of the land. They are punished by the same laws like others. The problem we have is not that we have different laws, but because we still use colonial laws.”

President Kagame said his government is not going to be deterred from the responsibility to deliver justice and dignity Rwandans deserve.

They way to go is for the judicial personnel to “always be beyond reproach for the judiciary to serve its purpose and maintain confidence of citizens.”

With this, they will work on current challenges the country is facing, including the child abuse, human trafficking which, the president always condemns in quite many of his speeches since the last two years.

Despite some countries undermining the Rwanda’s judicial system, the International Criminal Tribunal for Rwanda has an appreciation countries should emulate. The court referred several cases to Rwanda.

Same applies to several other countries, including US and Canada that have extradited or deported at least one genocide fugitive to be tried in Rwanda.

rrre.jpg

Clearing the court cases

Rwanda’s judicial year 2015/16 report presented today shows that Rwanda has made tremendous progress in area of speeding up trials.

It now takes three months for a case to be heard in court compared to other regional countries.

While the duration varies from court levels the achievement is 70 percent according to the Prof. Rugege.

For example in 2011/12 it would take 66 monthsfor a case to be heard in the Supreme Court, but now it takes 20 months maximum.

The number of pending cases has dropped from 42,670 cases in 2012 to just 5508 cases this year.

Use of ICT has been another improvement in the Rwandan Judicial system with use of electronic filing systems.

Kagame said that Rwanda will continue to pursue its own justice Systems and the Integrated Electronic Case Management System (IECMS) should be implemented at all cost.
 
vyuma njoo usome unafki wa huyu rais wa wakina Koba murutongore na mchambawima1
,Masunga Maziku I told you mkuu,siku moja,ukweli utajulikana. Tumesema hapa mara nyingi sana,paka ndio chanzo cha mauaji ya kimbari Rwanda. Ona sasa povu linavyomtoka alivyosikia wafaransa wanataks kuanza uchunguzi. Hata hayo mauaji ya kimbari anayosimamia siku zote,ni usanii uliopitiliza. Baada ya RPF kupata nchi wameua wahutu wengi sana lakini hilo Watusi hawalisemi. Mkuu hivi unajua ni kwa nini kila mshirika wa paka anspokosana nae adhabu yake ni kifo au kifungo cha maisha? Unajua ni mara ngapi paka amejaribu kumuua Kayumba Nyamwasa? Sasa Kayumba kaamua kumwanga mboga,ugali,wali,maji. Amewapatia wafaransa ushahidi usiokuwa na shaka juu ya mauaji ya rais Juvenal Habyarimana na wanyarwanda wengine wengi wasiokuwa na hatia.
 
Wewe interahamwe na hao mabwana zako wafaransa mlishindwa na kutandikwa na kina kagame wakiwa rebels tuu mkaishia kukimbilia congo mkafuatwa huko huko mkanyukwa tena, rudini nyumbani mkajenge nchi kama wenzenu vita mlishindwa zamani sana wehu nyie
 
Wafaransa hawajazungumzia kupigana vita na MTU,wamesema wanataka kufanya uchunguzi wa nani aliyemuua rais Habyarimana na nani wauaji wa kimbari. Povu mnalotoa la nini hasa? Si mruhusu uchunguzi ufanyike kama kweli hamna hatia?
 
wewe na na hao mabwana zako wafaransa mliosaidiana nao kufanya genocide ya watutsi ndio mnatakiwa mchunguzwe,good thing hakuna anayesikiliza uwendawazimu wenu ila mnashikwa kila siku mnakuwa deported Rwanda mkajibu kesi za mauaji au unafikiri dunia nzima wapuuzi kama hao wafaransa,mtashikwa wote hilo sina wasiwasi
 
Mbona Umepanic bro, jenga hoja km mwenzio nasio kutumia lugha za kuuzi...
 
Mbona Umepanic bro, jenga hoja km mwenzio nasio kutumia lugha za kuuzi...
Mkuu,tatizo hawa jamaa hasa Watusi wa Rwanda ukiwaambia ukweli wao hukimbilia kukutukana au kukuua. Ndio mbinu kuu anayoitumia paka kuwamaliza marafiki zake aliokuwa nao msituni. Kayumba Nyamwasa ameweka kila kitu hadharani paka na wafuasi wake wamechanganyikiwa maana genocide ni danganya toto ili aonekane alisaidia kuzuia mauaji ilhali yeye ndie muhusika mkuu wa genocide dhidi ya wahutu. Jeuri yote aliyonayo paka inatokana na mmarekani anayemtumia kuiba mbao na madini Congo. Lakini naamini mwisho wake umefika.
 
Gen Nyamwasa yuko SA tayari kaweka kila kitu wazi lazima PAKA na kundi lake la kigaidi RPF washughulikiwe na sheria ichukue mkondo wake kuhakikisha haki za wahutu walio wengi zinalindwa dhidi ya kikundi kidogo cha kikabila cha watutsi kinaacha kudhibiti kila kitu.
 
Hahaha...kweli mfa maji hakosi kutapatapa. Hizo ngonjera za wafaransa tumeshazizoea. Mara ya mwisho Sarkozy alikuja Kigali kuomba yaishe. I guess ngoja tumuandalie Hollande chumba mapema manake siku hizi vyumba kupatikana lazima ufanye booking mapema.
 
Wafaransa hawajazungumzia kupigana vita na MTU,wamesema wanataka kufanya uchunguzi wa nani aliyemuua rais Habyarimana na nani wauaji wa kimbari. Povu mnalotoa la nini hasa? Si mruhusu uchunguzi ufanyike kama kweli hamna hatia?
Kweli, waruhusu tu uchunguzi kama kweli Kagame alivyokuwa kiongozi wa waasi alihusika katika mauaji hayo
 
dear best wishers(EXCL: Interahamwes & Imbonerakures, who know better BTW ) I think it worth reading this book...

Silent Accomplice: The Untold Story of France's Role in the Rwandan Genocide.

The massacre of 1 million Rwandan Tutsis by ethnic Hutus in 1994 has become a symbol of the international community's helplessness in the face of human rights atrocities. It is assumed that the West was well-intentioned, but ultimately ineffectual. But as Andrew Wallis reveals in this shocking book, one country - France - was secretly providing military, financial and diplomatic support to the genocidaires all along. Based on new interviews with key players and eye-witnesses, and previously unreleased documents, Walliss' book tells a story which many have suspected, but never seen set out before. France, Wallis discovers, was keen to defend its influence in Africa, even if it meant complicity in genocide, for as French President Francois Mitterrand once said: 'in countries like that, genocide is not so important'. Wallis's riveting expose of the French role in one of the darkest chapters of human history will provoke furious debate, denials, and outrage.

Editorial Reviews
Review

'furiously hard-hitting and thoroughly researched' – The Independent

'a damning new book' – New York Review of Books

'Powerful …There is no part of the French past that needs honesty and a clean break more than this' – Sunday Times

'This book indicates the influence exerted by an ex-colonial power as a permanent member of the Security Council…The French government chose to intervene on the side of one of the most ruthless and destructive group of genocidaires in world history' – Roméo Dallaire, Commander of UNAMIR peace-keeping force in Rwanda 1993-4

'Through the quality of his sources and the rigour of his analysis, Andrew Wallis renders France's complicity in the Rwandan genocide undeniable' – Mehdia Ba, author of Rwanda: Un Génocide Français

""Silent Accomplice draws the reader in to the political machinations that fuelled the genocide....a comprehensive and important insight into the role of French foreign policy in the Rwandan tragedy"" – Dr Zoe Wilson, Kwazulu Natal University, South Africa
 
Acha kutuchosha na machapisho ya Rwanda today,mmekaa ofisini kwenu na majumbani kwenu mnaandika upuuzi mkidhani kila MTU ni mpuuzi,kama mpo safi na mikono yenu haina damu ya habyarimana,ntaryamira na wahutu wengine wengi kwa nini msiruhusu uchunguzi? Mnakimbia nini kuchunguzwa? Tena mimi nadhani mlipaswa kuwashukuru wafaransa kwa kutaka kuwatoa kwenye tope.
 
Back
Top Bottom