msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,045
- 1,107
Rais P.NKURUNZINZA wa Burundi amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa kamwe hatawavumilia watumishi wa umma watakaojihusisha na rushwa. (Source: CTV-KENYA). MY TAKE: Hapa kwetu Tz nani atadhubutu kuwakoromea watumishi wa umma walau wapunguze kula rushwa, manake kuwawajibisha hawezi!!