Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano White House imesema Kuwa Rais Obama Na Mkwewe hawatahudhuria Mazishi ya aliyekua Bondia nguli Ulimwenguni Hayati Muhammad Ali aliyefariki juma lililopita viongozi wengi duniani wanatarajia kuhudhuria Sherehe hizo.
White House wametaja sababu kuwa Rais Obama na Mkewe (Michelle) watakua katika Graduation ya binti yao Maria ambaye anamaliza High School.
White House imesema kuwa Obama ataandika statement ambayo itapelekwa na Kusomwa na mwakilishi wake.