Rais, nina uhakika 2020 utachukua nchi tena ila ukirudia kuteua hawa vijana kutoka UVCCM 2025 hata asimame nani atakufia mkononi

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Niende kwenye Agenda yangu, nmepata fursa kwa utawala huu wa Mh Rais, kuweza kuenenda na jinsi ambavyo yeye anatutaka,nimepata fursa ya kuzunguka mikoa takribani 6 tangu utawala huu uingie hakika nimejifunza mengi sanaa.

Nmejifunza mengi sanaa, umuhimu wa uteuzi na hasa kwa kuangalia utendaji wa wazee na utendaji wa vijana, ukiangalia hekima anayokuwa nayo mkuu wa walaya kijana na mtu ambaye umri umeenda kidgo.

Hakika,vijana wengi na hasa wale walio teuliwa kutoka umoja wa vijana ambao wengi wao hawakui hata kuajiliwa aise ni bonge la tatzo ni tatzo kubwa sanaa.

Yani hawa vijana wanatumia muda mwingi kufanya vitu kwa kutumia isia na si vinginevyo.

Ebu pata pcha ,katibu tawala wa wilaya anaitisha kikao cha shule kwa maana cha wazazi,wazazi mnafika katibu TAWALA ANAFIKA ANAWAMBIA KUWA YEYE NDO KILA KITU KWENYE WILAYA,NA NDO ALIYESHIKA MAISHA YA MKUU WA WILAYA KIAJIRA.

unamwangalia huyu ni katibu na kateuliwa na rais kabsa,inafika hatua katibu tawala anakuita ofisini anaishia kukupa vitisho kuwa heti yeye ana no za waziri.mkuu anaweza mpigia wakaongea muda wwt,hiv unajiuliza hata kama anaongea na waziri mkuu huyu kijana anajua kweli protocal za kumpigia hata waziri mkuu?

Hawa wateule wa mh raisi kwa ngazi za ukuu wa wilaya,ukatibu tawala,na ukurugenzi Mh Rais mimi nina uhakika kuwa 2020 utaingia tena ikulu ila usirudie makosa ya kuteua hawa watu ambao wanatumia muda mwingi kujigamba na vinginevyo ambavyo hatuwez kuvisema hapa,itoshe kusema yaliyosemaa na Bashiru na Makamba yakuongoze kufanya perfomance evaluation ya wateule wako hawa.
 
Back
Top Bottom