krava
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 225
- 287
Ndg wana jf urais ni taasisi sio magufuli jpm anachokisema ujue ni tamko halali lililofanyiwa uchambuzi yeye kama binadamu anakosea ila kama taasisi yaweza kosea pia ila kunakuwa na credibility zaidi kuiamini taasisi inayolinda maslahi ya taifa kuliko kumuamini MTU mmoja mmoja mwenye maslahi binafsi
Go jpm go tunaokuunga mkono tupo na tunaokukosoa tupo
Go jpm go tunaokuunga mkono tupo na tunaokukosoa tupo