Rais ni scientist na namba witiri

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
WanaJF,amani iwe pamoja nanyi.

Kama mjuavyo, mwanasayansi ni mtu anayecheza na theories, namba na practicals (vitendo) zaidi. Asiye mwanasayansi hana theories, hawezi kuprove equation na mambo yake mengi huwa hayatekelezeki.

Rais JPM n mtaalam wa kemia na namba kwa ujumla, hana bla bla, yupo straight forward. Anatekeleza vitu kwa vitendo kahisa. Hana promises zisizo tekelezeka,hakamatiki.

Wapinzani wameshindwa kumsema huyu 'mteule wa Mungu'.Wanaendelea kula matunda anayoyatekeleza,hawana nongwa. Rais ni kama namba witiri (namba isiyogawanyika kwa 2 ila kwa yenyewe tu), pa kumsema hapaonekani kamwe.

Tumsupport,hatatuangusha. Wallah nawaambia.
 
We jidanganye tu kuna theories, principles, models ,paradigms kibao kwenye social science karibia mara milion 100 zaidi ya hizo za ki science , SO FAR ZA SCIENCE ZINAKUFANYA UWE MANUAL KAMA MUHESHIWA UNAKUA UNATUMIA NGUVU SANA KULIKO AKILI
 
Presidency refers to science and art of dealing with people's affair as per legal oath made by the candidate.
Sasa ukisema ni scientist atakuwa sio right candidate anatakiwa awe scientist and artist and not otherwise.
 
WanaJF,amani iwe pamoja nanyi.

Kama mjuavyo, mwanasayansi ni mtu anayecheza na theories, namba na practicals (vitendo) zaidi. Asiye mwanasayansi hana theories, hawezi kuprove equation na mambo yake mengi huwa hayatekelezeki.

Rais JPM n mtaalam wa kemia na namba kwa ujumla, hana bla bla, yupo straight forward. Anatekeleza vitu kwa vitendo kahisa. Hana promises zisizo tekelezeka,hakamatiki.

Wapinzani wameshindwa kumsema huyu 'mteule wa Mungu'.Wanaendelea kula matunda anayoyatekeleza,hawana nongwa. Rais ni kama namba witiri (namba isiyogawanyika kwa 2 ila kwa yenyewe tu), pa kumsema hapaonekani kamwe.

Tumsupport,hatatuangusha. Wallah nawaambia.
acheni kufuru, hivi ni kipi kinachowafanya mumuite mteule,kuna usemi unasema if you want me to know you show me your friends,angalieni marafiki ya huyo mnaye mwita mteule mtamjaua ni mtu wa namna gani, nani kawaalika na nani kawatembelea.
 
Back
Top Bottom