Rais nawaombea wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014, 2015 na 2016 wapande madaraja!

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
519
1,026
Kwanza nakupongeza mheshimiwa Rais kwa Kuchaguliwa kwa kishindo niseme MITANO TENA!

Mitano iliyopita, sina haja ya kuiongelea maana IMEPITA.

Wakati ukimalizia malizia kampeni zako ukiwa pale Korogwe mkoani Tanga, Ulisema kuwa unafikiri ni wakati sasa wa kuongeza mishahara ya wafanyakazi kwa kuwa uchumi umetengemaa, Mheshimiwa Rais tazama wafanyakazi hawa,
Nao wana familia zao zinawategemea, wanahitaji walau kujenga hata vibanda nakuomba sana wakumbuke!
Sikufundishi Kazi Bali naomba uwaangalie ..

Waangalie..
Wakumbuke..

Natanguliza shukrani tena.
 
Labda wategemee ajae wafanye Kama wametoa sadaka, hizo za kuongeza zitoke wapi Hali miradi inataka pesa nyingi Sana na hata kukamilika bado kitendawili
 
Nikupongeze wewe mtoa mada lakini kwa mh.Rais tuwe na subira Kwani miaka uliyoainisha ni mingi tufanye angalau mwisho ,2016
 
Back
Top Bottom