Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 588
- 911
Uwaziri Mkuu ni Utendaji, hauitaji comedian. Kwa awamu ya tano ukiacha Majaliwa wengine wanaoweza kidogo ni wawili tuu. Simbachawene na Luhaga Mpina
Alishafanikiwa kuigeuza Tabora kua Torontooo kama alivyosema awali?
nani kakudanganya, iwe jua iwe mvua, magufuli atapita tu, mtake msitake, hakuna upinzani wa kumsimamisha
Nani kasema habari za ufipa hapa? Mmesahau kuwa vita kuu ya kwanza ya CCM ni palepale Lumumba (Membe & co) kisha inakuja vita kuu ya Pili bila majenerali wa frontline (DED's) hapo ni kichapo tuu hadi Lukaya.Hivi unaamini kabisa ufipä wanatoa rais 2020? Hatari sana hizi ndoto..
Kwa akili zako Membe anaweza mziki wa Magu?Nani kasema habari za ufipa hapa? Mmesahau kuwa vita kuu ya kwanza ya CCM ni palepale Lumumba (Membe & co) kisha inakuja vita kuu ya Pili bila majenerali wa frontline (DED's) hapo ni kichapo tuu hadi Lukaya.
Kwa nini wapambe wake wanalialia kama Membe ni mziki wa kitotoKwa akili zako Membe anaweza mziki wa Magu?
Shkamoo Mh Rais, hongera sana kwa kufanikisha mkutano wa SADC, hongera kwa jukumu la uenyekiti, hongera sana kwa kubadilisha Tanzania. Nianze kwa kukiri kwamba 2015 sikukuchagua, nilimchangua Mh Lowassa, nilifikiri kwamba CCM haiwezi tena kuwa safi, nilifikiri ukiiingia utakuwa fisadi na utazidi kuididimiza nchi, hongera kwakuwa umenionesha kuwa nilikosea kufikiri hivyo, panapo majaliwa 2020 kwa mara yakwanza kura yangu ya Diwani, Mbunge na Rais ni CCM.
Lengo hasa la kuandika uzi huu ni kuwasilisha ombi langu la dhati kwako, naomba sana ikikupendeza 2020 umshauri ndugu Aggrey Mwanri agombee ubunge jimbo la Siha (najua atashinda kwa kishindo) na ndugu Mollel wa Siha apangiwe kazi nyingine au awe mbunge wa kuteuliwa, kisha baada ya ushindi wako wa kishindo kwa asilimia zaidi ya tisini (90%+) itakapofika wakati wa kumteua waziri mkuu nakuomba sana umteue ndugu Aggrey Mwanry
Sina maana kuwa ndugu Majaliwa hafai, la hasha, nadhani ndugu Mwanry atasaidia sana kukimbiza mchakamchaka wa maendeleo....
Najaribu kuwaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa reli na kukuta mkandarasi anasuasua, nawaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme, nawaza atakavyokuwa anawasimamia wakandarasi wa miradi mbalimbali, nawaza jinsi mtakavyo shirikiana kuikimbiza tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati, nawaza jinsi ma Rais wa nchi nyingi za Afrika watakavyo miminika Tanzania kujifunza.
Nawaza jinsi mafisadi watakavyopata tabu, nawaza jinsi watu watakavyo furika na kuangua vilio mtakapokuwa mnatuaga 2025, yani ni raha sana na naamini kipindi hicho watu kama Mh Sugu, Mh Lema, Mh Mbowe, Mh Mdee watakuwa makada wa wakutupwa wa CCM. Tafadhali tunaomba utufanyie hilo mkuu wetu wa nchi.
Mwisho niwaombe Moderator na Maxence Melo msifute uzi huu tafadhali, haya ni maoni yangu, naamini hakuna sheria ya nchi niliyovunja kuweka uzi huu, naamini sijavunja sheria za JF pia, naamini uzi ukifutwa mtakuwa mmenionea sana, ikiwapendeza mnaweza kuuvuta juu kwa maslahi ya taifa letu. Mungu awabariki sana
#VivaTanzania
#vivaMagufuli
#HapaKaziTu
#TanzaniaYaViwanda
[/QUOTE
Ili achaguliwe Waziri Mkuu inabidi ashinde ubunge. Kwa kuwa alishindwa ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2015, una uhakika gani kwamba mwakani atashinda? Nafasi yake kushinda ilikuwa kubwa mwaka 2015 kuliko itakavyokuwa mwaka 2020.
Nani kakwambia hujafanya kosa? subiri wanasheria waje utaona kosa liko wapi!!Mwisho niwaombe @Moderator na @Maxence Melo msifute uzi huu tafadhali, haya ni maoni yangu, naamini hakuna sheria ya nchi niliyovunja kuweka uzi huu, naamini sijavunja sheria za JF pia, naamini uzi ukifutwa mtakuwa mmenionea sana, ikiwapendeza mnaweza kuuvuta juu kwa maslahi ya taifa letu. Mungu awabariki sana
Jamaa anataka tuwe na PM comedianMajaliwa ana busara na hekma, Aggrey Mwanri ana jazba na misifa.
Napendekeza Mw. Majaliwa aendelee na nafasi yake.
Kuwa kiongozi mzuri kunahitaji mambo muhimu matatu.. Busara, Hekima na malengo Majaliwa anavyo vyote hivyo.
kawa boya tena?Umesahau kuweka namba ya simu boya wewe
Bora hata ungemtaja Anthony Mtaka aiseee,hapo kwa Mwanri umechemka sana.Too much comedies kwenye uongozi unaharibuShkamoo Mh Rais, hongera sana kwa kufanikisha mkutano wa SADC, hongera kwa jukumu la uenyekiti, hongera sana kwa kubadilisha Tanzania. Nianze kwa kukiri kwamba 2015 sikukuchagua, nilimchangua Mh Lowassa, nilifikiri kwamba CCM haiwezi tena kuwa safi, nilifikiri ukiiingia utakuwa fisadi na utazidi kuididimiza nchi, hongera kwakuwa umenionesha kuwa nilikosea kufikiri hivyo, panapo majaliwa 2020 kwa mara yakwanza kura yangu ya Diwani, Mbunge na Rais ni CCM.