Rais, Nakuomba tafadhali 2020 mchague Aggrey Mwanri kuwa Waziri Mkuu

Ukiona Mtu anaanzisha Uzi halafu mwishoni anawaomba Wahusika wasiufute jua hata Yeye ameshajua kuwa huo Uzi una Pumba nyingi hivyo anawahi Kujihami. Bado sijaona Mapungufu yoyote wa Waziri Mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim na ninachojua tu huku nikiwa na uhakika nacho tena kwa 100% kuwa kama nchi ya Tanzania iliwahi Kubarikiwa kuwapata Mawaziri Wakuu wa kweli, wachapa Kazi na wanaojitoa kabisa kwa Tanzania yao bila Kuchoka na hata muda mwingine huwa wanayafuta Makosa ya Marais wao Kiutendaji basi alikuwa ni Hayati Edward Moringe Sokoine na sasa ni huyu Kassim Majaliwa Kassim. Kwako Mheshimiwa Rais JPM wala usipoteze muda wako Kumbadilisha huyu Waziri Mkuu wao Mahiri kwa sasa na nakushauri sana kuwa ukiendelea Kutuongoza kwa Awamu yako ya pili na ya mwisho ya 2020 hadi 2025 endelea nae Kassim Majaliwa Kassim na hutokuja Kujutia kuwa nae katika Safu yako ya Uongozi / Utawala.
Kwani nimesema Majaliwa hafai,?
 
Ushauri mzuri sana, lakini wewe mwenyewe mtoa mada unajua kabsa kuwa Mkulu huwa hashauriki. Naamini pia kuwa unajua kuwa Ushauri wako hautafanyiwa kazi.
 
Kwani nimesema Majaliwa hafai,?

Haihitaji Akili kubwa kuweza kujua kuwa Lengo lako Mama ni kutokuwa na Imani na Uwezo wa Kiutendaji wa Kassim na pengine kutokana na Chuki yako Kwake au Ukabila wako ( hasa Upare / Ukaskazini ) ambao unawagharimu umeamua Kumpigia Debe huyo Aggrey wako ambaye Binafsi namkubali ila kwa ngazi ya Uwaziri Mkuu kwa ninavyomjua hatoweza na hatoshei kabisa. JamiiForums ina Watu wengi na walio na Vipaji Asilia mbalimbali ( achilia mbali uwezo wa Elimu zao walizonazo ) hivyo ukianzisha tu Mada ( Uzi ) haraka mno tayari unakuwa unajulikana unalenga au unataka kusema nini.
 
Shkamoo Mh Rais, hongera sana kwa kufanikisha mkutano wa SADC, hongera kwa jukumu la uenyekiti, hongera sana kwa kubadilisha Tanzania. Nianze kwa kukiri kwamba 2015 sikukuchagua, nilimchangua Mh Lowassa, nilifikiri kwamba CCM haiwezi tena kuwa safi, nilifikiri ukiiingia utakuwa fisadi na utazidi kuididimiza nchi, hongera kwakuwa umenionesha kuwa nilikosea kufikiri hivyo, panapo majaliwa 2020 kwa mara yakwanza kura yangu ya Diwani, Mbunge na Rais ni CCM.

Lengo hasa la kuandika uzi huu ni kuwasilisha ombi langu la dhati kwako, naomba sana ikikupendeza 2020 umshauri ndugu Aggrey Mwanri agombee ubunge jimbo la Siha (najua atashinda kwa kishindo) na ndugu Mollel wa Siha apangiwe kazi nyingine au awe mbunge wa kuteuliwa, kisha baada ya ushindi wako wa kishindo kwa asilimia zaidi ya tisini (90%+) itakapofika wakati wa kumteua waziri mkuu nakuomba sana umteue ndugu Aggrey Mwanry

Sina maana kuwa ndugu Majaliwa hafai, la hasha, nadhani ndugu Mwanry atasaidia sana kukimbiza mchakamchaka wa maendeleo....

Najaribu kuwaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa reli na kukuta mkandarasi anasuasua, nawaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme, nawaza atakavyokuwa anawasimamia wakandarasi wa miradi mbalimbali, nawaza jinsi mtakavyo shirikiana kuikimbiza tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati, nawaza jinsi ma Rais wa nchi nyingi za Afrika watakavyo miminika Tanzania kujifunza.

Nawaza jinsi mafisadi watakavyopata tabu, nawaza jinsi watu watakavyo furika na kuangua vilio mtakapokuwa mnatuaga 2025, yani ni raha sana na naamini kipindi hicho watu kama Mh Sugu, Mh Lema, Mh Mbowe, Mh Mdee watakuwa makada wa wakutupwa wa CCM. Tafadhali tunaomba utufanyie hilo mkuu wetu wa nchi.

Mwisho niwaombe Moderator na Maxence Melo msifute uzi huu tafadhali, haya ni maoni yangu, naamini hakuna sheria ya nchi niliyovunja kuweka uzi huu, naamini sijavunja sheria za JF pia, naamini uzi ukifutwa mtakuwa mmenionea sana, ikiwapendeza mnaweza kuuvuta juu kwa maslahi ya taifa letu. Mungu awabariki sana

#VivaTanzania
#vivaMagufuli
#HapaKaziTu
#TanzaniaYaViwanda

Umemuacha wapi mchapa kazi Mhe Lukuvi, waziri wa Arthi & nyumba? Lukuvi anafaa saaaaaaaana kuwa Waziri Mkuu despite ya UMRI!!
 
Yani baadhi ya watanzania wanapenda mambo ya kijinga jinga sana. Pamoja na mapungufu yake Daudi lkn wakati mwengine anasemaga ukweli hasa pale alipokazia suala la Pierre. Hivi huyo mwanry alichokuvutia wewe hiyo ropoka ropoka? Yani mtu anazungumza Kama kichaa kwako wewe hiyo ndo sifa? Kwanza Mimi huwa simuelewagi kabisa.
 
comedian kuanzia mwenye post hadi msifiwa; damn it. Hatuwezi kwenda na viiiiichaaa katika ngazi za taifa, nalipa kodi kwa ajili ya kazi za jpm sio vichekesho vya weeeeehu

Shkamoo Mh Rais, hongera sana kwa kufanikisha mkutano wa SADC, hongera kwa jukumu la uenyekiti, hongera sana kwa kubadilisha Tanzania. Nianze kwa kukiri kwamba 2015 sikukuchagua, nilimchangua Mh Lowassa, nilifikiri kwamba CCM haiwezi tena kuwa safi, nilifikiri ukiiingia utakuwa fisadi na utazidi kuididimiza nchi, hongera kwakuwa umenionesha kuwa nilikosea kufikiri hivyo, panapo majaliwa 2020 kwa mara yakwanza kura yangu ya Diwani, Mbunge na Rais ni CCM.

Lengo hasa la kuandika uzi huu ni kuwasilisha ombi langu la dhati kwako, naomba sana ikikupendeza 2020 umshauri ndugu Aggrey Mwanri agombee ubunge jimbo la Siha (najua atashinda kwa kishindo) na ndugu Mollel wa Siha apangiwe kazi nyingine au awe mbunge wa kuteuliwa, kisha baada ya ushindi wako wa kishindo kwa asilimia zaidi ya tisini (90%+) itakapofika wakati wa kumteua waziri mkuu nakuomba sana umteue ndugu Aggrey Mwanry

Sina maana kuwa ndugu Majaliwa hafai, la hasha, nadhani ndugu Mwanry atasaidia sana kukimbiza mchakamchaka wa maendeleo....

Najaribu kuwaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa reli na kukuta mkandarasi anasuasua, nawaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme, nawaza atakavyokuwa anawasimamia wakandarasi wa miradi mbalimbali, nawaza jinsi mtakavyo shirikiana kuikimbiza tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati, nawaza jinsi ma Rais wa nchi nyingi za Afrika watakavyo miminika Tanzania kujifunza.

Nawaza jinsi mafisadi watakavyopata tabu, nawaza jinsi watu watakavyo furika na kuangua vilio mtakapokuwa mnatuaga 2025, yani ni raha sana na naamini kipindi hicho watu kama Mh Sugu, Mh Lema, Mh Mbowe, Mh Mdee watakuwa makada wa wakutupwa wa CCM. Tafadhali tunaomba utufanyie hilo mkuu wetu wa nchi.

Mwisho niwaombe Moderator na Maxence Melo msifute uzi huu tafadhali, haya ni maoni yangu, naamini hakuna sheria ya nchi niliyovunja kuweka uzi huu, naamini sijavunja sheria za JF pia, naamini uzi ukifutwa mtakuwa mmenionea sana, ikiwapendeza mnaweza kuuvuta juu kwa maslahi ya taifa letu. Mungu awabariki sana

#VivaTanzania
#vivaMagufuli
#HapaKaziTu
#TanzaniaYaViwanda
 
Shkamoo Mh Rais, hongera sana kwa kufanikisha mkutano wa SADC, hongera kwa jukumu la uenyekiti, hongera sana kwa kubadilisha Tanzania. Nianze kwa kukiri kwamba 2015 sikukuchagua, nilimchangua Mh Lowassa, nilifikiri kwamba CCM haiwezi tena kuwa safi, nilifikiri ukiiingia utakuwa fisadi na utazidi kuididimiza nchi, hongera kwakuwa umenionesha kuwa nilikosea kufikiri hivyo, panapo majaliwa 2020 kwa mara yakwanza kura yangu ya Diwani, Mbunge na Rais ni CCM.

Lengo hasa la kuandika uzi huu ni kuwasilisha ombi langu la dhati kwako, naomba sana ikikupendeza 2020 umshauri ndugu Aggrey Mwanri agombee ubunge jimbo la Siha (najua atashinda kwa kishindo) na ndugu Mollel wa Siha apangiwe kazi nyingine au awe mbunge wa kuteuliwa, kisha baada ya ushindi wako wa kishindo kwa asilimia zaidi ya tisini (90%+) itakapofika wakati wa kumteua waziri mkuu nakuomba sana umteue ndugu Aggrey Mwanry

Sina maana kuwa ndugu Majaliwa hafai, la hasha, nadhani ndugu Mwanry atasaidia sana kukimbiza mchakamchaka wa maendeleo....

Najaribu kuwaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa reli na kukuta mkandarasi anasuasua, nawaza siku akitembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme, nawaza atakavyokuwa anawasimamia wakandarasi wa miradi mbalimbali, nawaza jinsi mtakavyo shirikiana kuikimbiza tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati, nawaza jinsi ma Rais wa nchi nyingi za Afrika watakavyo miminika Tanzania kujifunza.

Nawaza jinsi mafisadi watakavyopata tabu, nawaza jinsi watu watakavyo furika na kuangua vilio mtakapokuwa mnatuaga 2025, yani ni raha sana na naamini kipindi hicho watu kama Mh Sugu, Mh Lema, Mh Mbowe, Mh Mdee watakuwa makada wa wakutupwa wa CCM. Tafadhali tunaomba utufanyie hilo mkuu wetu wa nchi.

Mwisho niwaombe Moderator na Maxence Melo msifute uzi huu tafadhali, haya ni maoni yangu, naamini hakuna sheria ya nchi niliyovunja kuweka uzi huu, naamini sijavunja sheria za JF pia, naamini uzi ukifutwa mtakuwa mmenionea sana, ikiwapendeza mnaweza kuuvuta juu kwa maslahi ya taifa letu. Mungu awabariki sana

#VivaTanzania
#vivaMagufuli
#HapaKaziTu
#TanzaniaYaViwanda
Wa sasa ana tatizo gani?
 
Nani kakuambia 2020 atakuwa na nafasi ya kuteua Waziri mkuu? Nyie watu mbona mna utani namna hii?
Mwenzenu bado anapigania uhai wake katika uongozi mnamvika vilemba vyenu vya magunia!
Hii ni sawa na mtu yuko ICU anapigania maisha yake na nyie mnaenda kumuuliza mipango yake ya kuoa mke wa pili.
 
nani kakudanganya, iwe jua iwe mvua, magufuli atapita tu, mtake msitake, hakuna upinzani wa kumsimamisha
 
Nani kakuambia 2020 atakuwa na nafasi ya kuteua Waziri mkuu? Nyie watu mbona mna utani namna hii?
Mwenzenu bado anapigania uhai wake katika uongozi mnamvika vilemba vyenu vya magunia!
Hii ni sawa na mtu yuko ICU anapigania maisha yake na nyie mnaenda kumuuliza mipango yake ya kuoa mke wa pili.
Hivi unaamini kabisa ufipä wanatoa rais 2020? Hatari sana hizi ndoto..
 
Back
Top Bottom