LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Ndugu Wanabodi!
Ninauliza mgawanyo vya viti maalum-wabunge kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA.
Nakumbuka kwamba vyama hivi vilioamua kusimamisha mgombea mmoja wa Uraisi na wabunge katika majimbo.
Kwa maana hiyo, CHADEMA ndo iliyojulikana kusisimamisha mgombea uraisi aliyekuwa akiungwa mkono na vyama
vyote vinavyounda UKAWA. Kwa maana hiyo kura alizopata Lowassa ni za wanaUKAWA wote. Vivyo hivo kura walizopata wabunge wa Ukawa ni za wanaUKAWA wote.
Kutokana na kura hizo ndizo zinapelekea kutolewa kwa viti maalumu. Sasa vyama vingine vinavyounda ukawa ukiondoa CDM vimepata nafasi za viti maalum? Kama siyo, hii ndo issue niliyokuwa naisema kwamba vyama vingine vitakuja kuingizwa mjini.
Mwenye majibu aje atufafanulie hapa!
Aksanteni!