Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Ndugu Wanabodi!
Ninauliza mgawanyo vya viti maalum-wabunge kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA.
Nakumbuka kwamba vyama hivi vilioamua kusimamisha mgombea mmoja wa Uraisi na wabunge katika majimbo.
Kwa maana hiyo, CHADEMA ndo iliyojulikana kusisimamisha mgombea uraisi aliyekuwa akiungwa mkono na vyama
vyote vinavyounda UKAWA. Kwa maana hiyo kura alizopata Lowassa ni za wanaUKAWA wote. Vivyo hivo kura walizopata wabunge wa Ukawa ni za wanaUKAWA wote.
Kutokana na kura hizo ndizo zinapelekea kutolewa kwa viti maalumu. Sasa vyama vingine vinavyounda ukawa ukiondoa CDM vimepata nafasi za viti maalum? Kama siyo, hii ndo issue niliyokuwa naisema kwamba vyama vingine vitakuja kuingizwa mjini.

Mwenye majibu aje atufafanulie hapa!

Aksanteni!
 
Navyojua mimi idadi ya viti maalum hutokana na idadi ya wabunge wa majimbo

Idadi ya kura za urais inamata kwenye kukokotoa ruzuku ya chama

I stand to be corrected anyway
 
walimu wako uliwapa kazi sana,lubuva kaelezea vizuri jinsi viti maalum vinavyopatikana.jf wiki nzima ndo lilikuwa somo bado hujaelewa.kweli shule za taka noma
 
walimu wako uliwapa kazi sana,lubuva kaelezea vizuri jinsi viti maalum vinavyopatikana.jf wiki nzima ndo lilikuwa somo bado hujaelewa.kweli shule za taka noma
Kumuelewa mwenzio kunahitaji uelewa vile vile!
Nimekwambia hapo juu kwamba wanavisaidiaje hivi vyama vingine?
Kama walivyomkopa Duni kwa umakamu wa uraisi, wangekopa watu kutoka vyama vingine! Kama iliwezekana kwenye ungombea mwenza, kwa nini haiwezekani kwenye viti maalumu?
Kumshikisha mtu kadi ya CDM kwa ajili ya kupata ubunge kwa manufaa ya chama chake haiwezekani?
 
Navyojua mimi idadi ya viti maalum hutokana na idadi ya wabunge wa majimbo

Idadi ya kura za urais inamata kwenye kukokotoa ruzuku ya chama

I stand to be corrected anyway

Nakubaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu!
Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC?
Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti maalum) wengui! Kwa nini mgombea uraisi amepewa nafasi nne? Kwa nini Mbatia asipewe nafasi tatu? NLD nafasi moja?
 
Navyojua mimi idadi ya viti maalum hutokana na idadi ya wabunge wa majimbo

Idadi ya kura za urais inamata kwenye kukokotoa ruzuku ya chama

I stand to be corrected anyway

Nakumbaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu!
Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC?
Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti maalum) wengi! Kwa nini mgombea uraisi (Lowass) amepewa nafasi nne? Kwa nini Mbatia asipewe nafasi tatu? NLD nafasi moja? Haji Duni nafasi mbili?
 
baada ya uchaguz sasa n kilio kwa wote waliokuwa wamewekeza UKAWA pasi na kujua kuwa wenzao CHADEMA n wafanya biashara.....hawakujua kuwa baada ya uchaguz kila MTU anarudi kwao....polen sana mliowekeza huko toroken mje Uzalendoni
 
Aliyekuwa anagombea na Julius Mtatiro naye amepewa viti maalum! Hii ni zawadi ya kumwangusha Mtatiro?
 
Kumuelewa mwenzio kunahitaji uelewa vile vile!
Nimekwambia hapo juu kwamba wanavisaidiaje hivi vyama vingine?
Kama walivyomkopa Duni kwa umakamu wa uraisi, wangekopa watu kutoka vyama vingine! Kama iliwezekana kwenye ungombea mwenza, kwa nini haiwezekani kwenye viti maalumu?
Kumshikisha mtu kadi ya CDM kwa ajili ya kupata ubunge kwa manufaa ya chama chake haiwezekani?

sio peremende zile kuna mkataba walikubalibna juu ya mgawanyo na wakasaini,nani alijua kuwa makaidi atakufa,au mkosamali na kafulila wangefulia,kila mgombea alitakiwa kupambana kiume.duni alichukuliwa kwa mkopo kwa makubaliano maalumu kumeet requirement za katiba.kama ligi imekwisha usajili ni kwa msimu ujao
 
Ujiulize Pia Kabla Ya Uchaguzi Huu Hivyo Vyama Vingine Vilikuwa Na Viti Vingapi, Alafu Ndio Uje Hapa Kulalamika
 
Nakubaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu!
Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC?
Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti maalum) wengui! Kwa nini mgombea uraisi amepewa nafasi nne? Kwa nini Mbatia asipewe nafasi tatu? NLD nafasi moja?

Wakati wa kampeni mlikua mnatukana na kukashfu UKAWA alafu ghafla mmekuwa washauri wa UKAWA...

Hebu acheni mambo zenu bana
 
Ukawa imekuwa ukiwa.

Nina uhakika unao uwezo wa kumwelewesha huyu mleta mada, ila kwakuwa unaona ni kitu ambacho kikiachwa kikapotoshwa na kueleweka vibaya inatoa pointi kwa chama chako CCM, ndo maana unashabikia tu.

Hivi hakuna siku nafsi inakusuta unapoamua kwa makusudi kabisa kushabikia uongo, uchonganishi, uzushi, chuki, kukoseana heshima, kudhalilisha binadamu wenzio, nk?

Kama unavyopenda kutuuliza humu kuwa hizi shule tulienda kusomea ujinga, nami nikuulize: hizo ibada huwa unafanya kwa mola wako, au kwa shetani?

So disgusting!!
 
Mheshimiwa sana Lowassa kapewa nafasi nne kuweka wabunge wa viti maalum.

Sina hakika kama Kikweke au Magufuli walipata fursa hiyo CCM.

Kila chama na demokrasia yake.
 
Nakumbaliana na wewe Mkuu! Na huo ndo utaratibu!
Kwa nini wasifanye huo mgawanyo wa ruzuku kwa vyama vyote nje ya utaratibu wa NEC?
Hii iendane na ukubwa wa chama! La sivyo vyama vingime vimefanya kazi ya kanisa kuisaidia CHADEMA kupata ruzuku kumbwa, wabunge wa kuchanguliwa na kuteuliwa (viti maalum) wengi! Kwa nini mgombea uraisi (Lowass) amepewa nafasi nne? Kwa nini Mbatia asipewe nafasi tatu? NLD nafasi moja? Haji Duni nafasi mbili?

Hamna kitu hapa...
 
Back
Top Bottom