Rais na vyuo vikuu inakuwaje????

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
170
vyuo vikuu ndivyo visima vya mawazo yenye thamani na yanayoweza kusaidia katika kusukuma gurudumu la maendeleo la nchi hii na nyingine nyingi, na ndio maana hata wenzetu huko nje kama Rais Barack Obama walitumia muda wa kampeni zao mpaka vyuo vikuu wakiamini kuwa wasomi wanazo changamoto mbalimbali zitakazo wawezesha kuongoza nchi zao ustadi na kuleta maendeleo,,,lakina ninaona muheshimiwa kukanyaga vyuo vikuu ni shughuli pevu,,,,kuna nini huko????????????
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom