The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,185
- 13,608
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanauzwa soko la makoroboi Mwanza buku kumi na tano.Haya mashati mazuri ya gharama sijui Jiwe anayatoaga wapi?
Asante mkuu. Kumbe buku kumi na tano tu. Mwaka mpya nataka kuyanunua 365 kila siku nabadilisha hadi mwaka uishe.Yanauzwa soko la makoroboi Mwanza buku kumi na tano.
shati zuri sana.Yanauzwa soko la makoroboi Mwanza buku kumi na tano.
Hiyo kila mtu humtokea, ukiwa na pesa bc umekuwa kijanaMagufuli alianza kuzeeka kabla hajawa kijana.
Mkono wa kushoto mbona siuoni naona wa kulia tu na nyuma yake yupo Shigela RC Ta kwa sasa.....kinehe
Na yule Mzee wa kuvaibreti je?Magufuli alianza kuzeeka kabla hajawa kijana.
Na yule Mzee wa kuvaibreti je?
Marafiki sana hawa
Marafiki sana hawa
Pia ana kanzu ya gharamaHaya mashati mazuri ya gharama sijui Jiwe anayatoaga wapi?
Marafiki sana hawa
Pia ana kanzu ya gharama