Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 664
- 1,272
Baada ya kufanya ziara katika maeneo ya Kichwele na Salem Mkoa wa Kaskazini Unguja, nimeamua kubadili matumizi ya mashamba ya mpira kuyafanya kuwa maeneo ya viwanda kufuatia mashamba hayo kutotumika ipasavyo na kuleta tija kwa Taifa.