Rais Mwinyi: Uchaguzi wa mwaka 2020 ulikuwa huru na haki, asema hatajibu upuuzi

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na balozi Ally Karume kwamba CCM haijawahi kushinda Zanzibar na kwamba Rais Mwinyi alibebwa na mwenyekiti wa ccm wa wakati huo kwenye kura za maoni kwa kuziita za kipuuzi na hatajibu upuuzi.

Rais Mwinyi amesema hakuna uchaguzi uliokuwa wa huru na haki kama wa mwaka 2020 kwani kura zilipigwa na kuhesabu hadharani mbele ya wajumbe na kamera zote, utaratibu ambao haukuwahi kutokea kabla.

Rais Mwinyi amesema hakuna uchaguzi uliokuwa wa huru na haki kama wa mwaka 2020 kwani kura zilipigwa na kuhesabu hadharani mbele ya wajumbe na kamera zote, utaratibu ambao haukuwahi kutokea.
Wasituchefue

Wakae kimya wasituchefue

Kizuri chajiuza ,Kibaya chajitembeza

Kama ulikuwa huru kwanini msikae kimya?

Kamera za kumuonyesha yule Mama anatumbukiza bahasha kwenye sanduku la kura au?
 
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na balozi Ally Karume kwamba CCM haijawahi kushinda Zanzibar na kwamba Rais Mwinyi alibebwa na mwenyekiti wa ccm wa wakati huo kwenye kura za maoni kwa kuziita za kipuuzi na hatajibu upuuzi.
Rais Mwinyi amesema hakuna uchaguzi uliokuwa wa huru na haki kama wa mwaka 2020 kwani kura zilipigwa na kuhesabu hadharani mbele ya wajumbe na kamera zote, utaratibu ambao haukuwahi kutokea kabla.
FB_IMG_1685377676795.jpg
 
Upuuzi wa mh.Balozi Ally Karume tunaujua vyema.....

Sisi vijana wa CCM tunamjua vyema Ali Karume....

Huyu bwana ana historia ya ajabu sana....alishawahi kumuua binti kisa amemkataa kimapenzi.....

Na hiyo ndiyo ikawa sababu ya kupelekwa kusoma NG'AMBO......

Huyu mzee wetu Ali Karume ana tamaa ya Urais....nia yake si mbaya ila HANA SIFA ZA KUGOMBEA URAIS.....

Ukienda makunduchi wanayajua madhaifu yake.....

Uchaguzi ulikuwa HURU NA HAKI....huko ACT aende tu....aende tu.....

#SiempreJMT
 
Ali Karume anajifanya mzanzibari haswa.....

Yeye haamini kuwa WAMAKUNDUCHI-WAHADIMU....ni wazanzibari haswa....kisa tu wametokea pwani ya huku kwetu TANGANYIKA......

Ndio maana anampinga Rais mh.Dr.Hussein Mwinyi ....

Na wanaokaa naye karibu wanasema huwa anamponda sana mh.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa HASTAHILI....na si mzanzibari halisi bali mtanganyika mhadimu.....
 
Upuuzi wa mh.Balozi Ally Karume tunaujua vyema.....

Sisi vijana wa CCM tunamjua vyema Ali Karume....

Huyu bwana ana historia ya ajabu sana....alishawahi kumuua binti kisa amemkataa kimapenzi.....

Na hiyo ndiyo ikawa sababu ya kupelekwa kusoma NG'AMBO......

Huyu mzee wetu Ali Karume ana tamaa ya Urais....nia yake si mbaya ila HANA SIFA ZA KUGOMBEA URAIS.....

Ukienda makunduchi wanayajua madhaifu yake.....

Uchaguzi ulikuwa HURU NA HAKI....huko ACT aende tu....aende tu.....

#SiempreJMT
Umetoa tuhuma nzito sana
 
Mh.Ali Karume alijue kuwa ile familia aliyomuua binti yao bado ipo......

Hivi hajuti ?!!!

Kama tu urais wa baba yake ulimfanya awe na utukutu wenye kuchusha....leo anataka kuwa Rais ili ayafanye mabaya zaidi ?!!!

Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi ni muadilifu.....si mh.balozi Ali Karume.....
 
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi amejibu tuhuma zilizotolewa na balozi Ally Karume kwamba CCM haijawahi kushinda Zanzibar na kwamba Rais Mwinyi alibebwa na mwenyekiti wa ccm wa wakati huo kwenye kura za maoni kwa kuziita za kipuuzi na hatajibu upuuzi.
Rais Mwinyi amesema hakuna uchaguzi uliokuwa wa huru na haki kama wa mwaka 2020 kwani kura zilipigwa na kuhesabu hadharani mbele ya wajumbe na kamera zote, utaratibu ambao haukuwahi kutokea kabla.

Kwani inawezekana Rais uyu ambaye amekalia kiti ichi ,akasema uchaguzi haukuwa wa huru na haki, haiwezekani
Yapo mapicha yakionesha ni kwa namna gani wananchi waliumizwa na kuteswa je ilikua kwa ajili ya nini kama uchaguzi ulikua huru na haki,

Naungana na rais kwa kauli yake kwamba hawezi jibu ujinga ,its OK na kwa lugha nyingine na nyepesi ni kwamba ni hujinga ambao hoja na ushahidi wa kuujibu ni ngumu,

So rais yuko sawa , kwa kauli iyo
 
Mh.Ali Karume alijue kuwa ile familia aliyomuua binti yao bado ipo......

Hivi hajuti ?!!!

Kama tu urais wa baba yake ulimfanya awe na utukutu wenye kuchusha....leo anataka kuwa Rais ili ayafanye mabaya zaidi ?!!!

Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi ni muadilifu.....si mh.balozi Ali Karume.....
 
Mh.Ali Karume alijue kuwa ile familia aliyomuua binti yao bado ipo......

Hivi hajuti ?!!!

Kama tu urais wa baba yake ulimfanya awe na utukutu wenye kuchusha....leo anataka kuwa Rais ili ayafanye mabaya zaidi ?!!!

Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi ni muadilifu.....si mh.balozi Ali Karume.....
Kwanini hamukumpeleka mahakamani, kumbe mnafunga wezi wa kuku, mnaacha wenzenu hata kama wanahatia sio? Huyo c mwanachama mwenzenu? Na anaongea ukweli kama itikadi inavosema," Ntasema kweli daima fitina kwangu mwiko".Ama hii ni geresha tu?
 
Lini mh.Ali Karume ataacha kuwaweka wazanzibari katika makundi ?!!!!

Lini ataacha ubaguzi wake huo ?!!!

Kwa hiyo MAKUMBARU si wazanzibari halisi?!!!

Kwa hiyo WAHADIMU si wazanzibari halisi ?!!!

Kwa hiyo "WANYASA" si wazanzibari halisi ?!!!!

Yaani raha zote alizopewa na wazanzibari kupitia KODI ZAO hazimshughulishi na hajali ?!!!!

Aende tu ACT WAZALENDO...inajulikana akina Jussa na Mazrui wanamuahidi makubwa huko.....aende tu.....aende tu....alienda hayati kamarada Membe na akarudi......
 
Back
Top Bottom