Baada ya hapo umwalike nyumbani kwako akakugongeAisee.. Hotuba ya SEIF imenitoa chozi. Nashauri Magu awaarike Seif na Mwinyi pale magogoni wakaonge glas kidogo.
Kwahiyo unasemaje labda??Umeongea utoto gani dogo? Kuna watu nyumba yao imepigwa bomu. Halafu tofautisha amani na uoga uliopitiliza.
Kwahiyo unasemaje labda??
Kumbe muogaUlivyotaka.
Kwahiyo hapo ndio hajafanya UNAFIKI?Waislamu waungwana sana niliona kwa Alli, Shein, Jakaya na SASA Hussein maadili ya dini Yao yanawafanya wasiwe wanafiki WA kupitiliza kama Marais Wakiristo. Naamini Hussein atakuwa Rais muungwana na kuleta mabadiliko.
Uislam ni uungwana
Lengo lao lishatimia tayariAmedumu madarakani kwa siku 69 tu, pumzika mzee wetu