Rais Mwinyi amteua Suleiman Abdullah kuwa Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,201
4,673
Uteuzi huo umefanywa na Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi kwa mujibu wa Katiba husika
 
Attachments

  • FB_IMG_16048482629131361.jpg
    FB_IMG_16048482629131361.jpg
    15.6 KB · Views: 1
  • FB_IMG_16048482221765483.jpg
    FB_IMG_16048482221765483.jpg
    19.2 KB · Views: 1
Huyo mteule ni mzaliwa wa Pemba? Kwa sababu Magufuli alipokuwa kwenye kampeni kule Zanzibar aliagiza kuwa makamu wa rais atokee Pemba,hicho cheo kwa huku bara ni sawa na waziri mkuu ,swali ni je? Anazoefu wa kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi kabla ya kuwa mkuu wa mkoa?
 
Alikuwa ni mkuu wa mkoa kusini pemba, ni mpemba lakin ndo ivyo tena amechangia sn ndugu zetu kupigwa na kusekwa ndani kule pemba, uluwa si unajua
 
Husseim Ally Hassan Mwinyi atafuata Nyayo za Baba Yake ambae alikabidhiwa Nchi ikiwa hoi nin taaban kutokana na Siasa za wakati huo wa kupinduliwa Aboud Jumbe na akafanikiwa kutuliza Mtanzuko wa wakati huo

Akiungwa Mkono ataibadilisha sana Znz sema ndio hivyo tena sie watu weusi ubaguzi upo kwny Damu
 
Hawana issue hao, kuongoza watu ambao hawajakuchagua hata Mungu hapendi
Wewe uliweka mkataba na wapiga kura wakakuahidi watawapigia hao watu wenu..nataka kujua una ushahidi upi kwa hili je unazo kopi za karatasi za kura au unajuaje jomba...nataka kujua kura ya Siri wewe unai define vipi kwamba ni yako na sio ya mwingine..Ni hilo tu
 
Husseim Ally Hassan Mwinyi atafuata Nyayo za Baba Yake ambae alikabidhiwa Nchi ikiwa hoi nin taaban kutokana na Siasa za wakati huo wa kupinduliwa Aboud Jumbe na akafanikiwa kutuliza Mtanzuko wa wakati huo

Akiungwa Mkono ataibadilisha sana Znz sema ndio hivyo tena sie watu weusi ubaguzi upo kwny Damu
Sahihi mkuu.

Hussein mwinyi binafsi naona ni kiongozi mzuri atakuja kuibadilisha zanzibar haswa.

Kama salio wanalo,kama ustaarabu anao tatizo wazanzibar wengi wanambagua kwa sababu zao za kimji.

Ila wamuunge mkono tu.
 
Hongera kwake Makamu wa pili wa rais
Mungu ibariki Tanzania
 
Sahihi mkuu.

Hussein mwinyi binafsi naona ni kiongozi mzuri atakuja kuibadilisha zanzibar haswa.

Kama salio wanalo,kama ustaarabu anao tatizo wazanzibar wengi wanambagua kwa sababu zao za kimji.

Ila wamuunge mkono tu.

Ustaarabu upi? wakusubiria kuuliwa watu ili aingizwe madarakani?
 
Back
Top Bottom