Rais Mwai Kibaki na Gharama za Umeme Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Mwai Kibaki na Gharama za Umeme Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Kipanga, Oct 7, 2008.

 1. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Rais wa Kenya Mwai Kibaki ameiamuru Wizara ya Fedha na Nishati nchini humo kupitia upya viwango vya kodi zinazotozwa katika gharama za umeme nchini humo. Lengo ni kuhakikisha kuwa kodi ambazo zinachangia kuwaumiza watumiaji wa umeme zinapunguzwa kama si kuondolewa kabisa... JK na EWURA mpo??
   
Loading...