#COVID19 Rais Museveni: Serikali kugawa barakoa kwa Waganda wote wenye umri wa kuanzia miaka 6

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,955
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.




======

All Ugandans aged six and above will be given free facemasks in a bid to protect themselves against the spread of coronavirus, President Museveni has said.

“This mask must be worn all the time when you are in public. Whether you are sneezing, talking or coughing. Since many people raised the issue that they cannot afford these masks, the gov’t has decided to provide these masks to all Ugandans 6 years and above,” Mr Museveni said in a televised address to update Ugandans on government efforts against the spread of the virus which has left 227 people in the country infected.

According to the president, children less than age six cannot safely wear these masks
.
“These masks, like mosquito nets, will be distributed through the LC system. One mask per person of age 6 and above will be given. It must be worn all the time when you are in public,” he said.

Therefore...moving forward from 20th May 2020 - tomorrow (May 19), given the knowledge we now have, we shall move as follows..

1. Once issues of the masks is addressed, shops selling general merchandise will open if they are not in shopping arcades, food markets and arcades.

Public transport
Public transport will resume around June 2, 2020 after all Ugandans get face masks.
"The masks will take two weeks to be ready. Two weeks will be ... like June 2. However, this opening of public transport will not be allowed in the border districts of Uganda for another 21 days. And when the taxis resume, I don't want to hear of brokers and these noisemakers in the park. Since it is impossible to space out the passenger and the boda boda rider, boda bodas and tuk tuks will not be allowed to carry passengers," he said.

Salons
Bars, salons, gyms and swimming pools will remain closed for the next 21 days.
"For the bars and salons, since they cannot observe the rules of social distancing, they will not be allowed to open for another 21 days, this includes, gyms and swimming pools," Mr Museveni said.

Private cars
People with private cars will be allowed to drive as long as the car doesn’t carry more than three people.
"Three people includes the driver. This will require you to wear a proper mask," Mr Museveni said.

Curfew extended for another 21 days
The president also said curfew will remain unchanged for another 21 days.

Source: Daily Monitor
 
Museveni amepokea mkopo kutoka IMF ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu, huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima IMF imuadhibu.

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
Wazee wa visingizio na propaganda. Yaani kila kitu imf.. mbona imf wenyewe wako kimya?

Halaf sisi wenyewe tunadaiwa na imf na hatujamaliza deni mpaka leo. Akipewa jiran imekuwa shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumumba msikilize Museveni anavyoongea kuhusu corona nchini mwake mfanye ulinganisho.
Najua mtanipiga madongo, lkn nawaomba mlinganishe hotuba za Mbowe, Museveni Na Mh Rais.
Hivi wewe si umeshaambiwa, hii ni dola huru au hujaelewa?
 
Noma kweli kweli tunasubiri kupukutika na korona tu maana watu washaichukulia poa.
 
Museveni amepokea mkopo kutoka imf ili apambane na corona
Kwahiyo lazima awafurahishe Wazungu,huo mkopo hauna riba akikiuka mashariti lazima Imf imuadhibu

Nafurahi sisi Tanzania tumishinda corona kwa juhudi za Ndani tukiongozwa na Rais Magufuli
Nimesikiliza hotuba ya Mh Mbowe kwa taifa aliyoitoa jana. Ukweli huyu anatufaa sana watz kama kiongozi mwenye weledi na uwezo mkubwa. Huwezi kufananisha na vituko vilivyofanywa kule kanisani chattle.
 
Back
Top Bottom