Rais Museveni: Nimeruhusu Chato jina langu kutumika kama jina la shule, Jina langu halijawahi kutumika popote duniani nilikataza kabisa

Mbona hata Kyerwa Kagera amejenga shule ya sekondari tena yenye miundo mbinu ya kisasa zaidi....
Je Kyerwa ipo shule ya serikali ambayo English Medium Nursery and Primary School? Hizo shule zilikuwa Dar pekee, shule za Olympio na Diamond
 
Je Kyerwa ipo shule ya serikali ambayo English Medium Nursery and Primary School? Hizo shule zilikuwa Dar pekee, shule za Olympio na Diamond
Hapana mkuu ni shule ya sekondari ndiyo amejenga huko Kyerwa, alafu hizo shule sikwamba zilikuwa Dar tu, Mbeya na Arusha zipo pia
 
Hii comment yako japo inataja Mungu ila haina upendo. Mungu ni upendo. Mseveni kawapenda wabongo kawajengea shule, badala ya kushukuru tunamnanga. Shida ni Mseveni kweli au ni Chato?
Waafrika ndivyo tulivyo ukitoa unajifanya unazo, ukimnyima unajisia
 
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mara nyingi aliombwa jina lake litumike sehemu mbalimbali duniani katika kutambulisha miradi lakini alikataa.

Hata Uganda nimekataa kutumia jina langu mara kadhaa.

Lakini hapa Chato nimekubali jina langu litumike kuitambulisha shule, ni hapa tu kwa heshima ya mji huu, amesema Museveni.

Chanzo: ITV habari
Rubbish kabisa
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom