Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?
Vipi kuhusu kukaa kwake madarakani kwa miaka 40,amekufundisha nini hapoAmetufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Aisee Bashite ataikopi hii muvu na baba yake.Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
[/QUOT]
Kafundisha sana ushirika moshi.
Professional ni mwalimu wa uchumi.
Endelea kumsikilizaAmetufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Ametufundisha wengi kuwa usizalishe bidhaa nyingi kama watu wako hawatakuwa na uwezo wa kuvinunua na wala hujui ziada utamuuzia nani.
Unaweza kumsikiliza mwanzo mwisho kwakuwa kila sentence yake ina maana,
Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Ikitokea hivyo unavyowaza basi utakuwa una akili kama unavyojitapa. Na hilo lisipotokea basi na wewe unakuwa huna akili kabisa kuliko hio mijitu mizima uliyoidharau.Huyu Yuko madarakani miaka 10 ya mwinyi, 10 ya mkapa, 10 ya JK, 4 ya huyu njuka..hawezi kubwata na kufoka, huyu anatoa lecture, rumors has it alishataka kuachia madaraka Ila mkewe ndiye anaforce, hata mwanawe kainerugaba kumpandisha cheo kua Luteni Jenerali ni mbinu tu kwamba maluteni wengi huweza kupindua nchi, Sasa akichoka mwanawe anaweza 'akampindua' ili familia iendelee kushika hatamu! Watu smart tulijua Hilo kitaaambo, imagine am 28 na mijitu mizima Haina hata akili ya kubaini Hilo..
Sasa kwani niliwatuma wazazi wako waanze anasa miaka ya 60 mpaka ukaziliwa?Vijana bana, kwa hiyo 28yrs unajiona mdogo na unaona hicho unachohisi unakifahamu kilitakiwa kujulikana kwa walio above 28yrs!?
Ongezea hapo at 26 Salim Ahmed Salim was the youngest ambassador! Kwa umri wangu, kazi nazofanya kwaajili ya huduma ya nchi hii na ww mzee mpumbavu havilingani!At 26 in 1969 Colonel Muammar Ghadafi anapindua Serikal ya Libya na kuwa Rais ,
At 28 Dr Hassy Kitine tayari ni waziri, Hayati Mzee Mungai chini ya Umri wako tayari Waziri, Afande Jakaya at 28 tayar ni Mwandishi wa Minutes za vikao vya Kijeshi kati ya Amiri Jeshi na ma Generali lakin wote hawakuwa wakijisifu
wewe 28 unajiona zaid ya Christopher Columbus kwa ki comment chako cha aya moja na kuanza kutudhalilisha Wakubwa zako
Nitakua nimekurithi we we dingilai!Ikitokea hivyo unavyowaza basi utakuwa una akili kama unavyojitapa. Na hilo lisipotokea basi na wewe unakuwa huna akili kabisa kuliko hio mijitu mizima uliyoidharau.
Si ndivyoo..!!?