Rais Museven amuonya Spika wa Bunge kuwa anaweza kulifuta Bunge

Huyu kalewa madaraka na anajiona mungu mtu hii haikubaliki dictator huyu
 
Mkuu ni kweli wamtoe. Kwa nguvu haiwezekani tangu 1986 hadi sasa ni yeye tu mtawala
 
Naona Chadema wote mumehamia Uganda wakati huku nyumbani Majimbo yanazidi kuwaponyoka
 
Rais ana mamlaka ya kuvunja bunge na bunge lina uwezo wa kumng'oa Rais. Sasa hapa ni kuliana timing kama kumchinja cobe!
 
Naona Chadema wote mumehamia Uganda wakati huku nyumbani Majimbo yanazidi kuwaponyoka
Tunamsikiliza mwalimu wa kichaa!!tumegundua kuwa kumbe hata mwalimu naye kichaa tu! Yaani kichaa anamfundisha kichaa mwenzake!
 
Basically bunge lenenyewe linaweza kumuondoa madarakani muda wowote wakitaka. Kiufup bunge lina nguv kuliko yeye mwenyewe.

So asichimbe biti viongozi
Wangekuwavwashamuondoa kama wanauwezo. Hizo ni drama tu kwa siasa za africa
 
Back
Top Bottom