Rais Mugabe asafiri kikazi Marekani na msafara wa watu 70 akiwamo mjukuu

Atukane wapi kama haogopi atakamatwa na new sheriff! Saivi mwenye uwezo wa kutoa shombo ni kiduku tu wengine wameufyata, kiduku nae siku zake ni fupi mno.!
Atatukana na hawezi kukamatwa na atatoa maneno yake ya shombo anavyotaka

Kuna Rais mtata kama Bush achana na Trump tukio gani kafanya ?

Chavez alikuwa anamtukana tena anamtukana kweli kweli UN kama mbwa mkubwa na matusi mengine live


Sheriff wa USA hawana mandatory hio na uwezo huo ni kama vile hapo makao makuu ya Arusha ,jamhuri ya Tz na polisi hawana mamlaka yeyote wanajitegemea


Pale panajitegemea nasubiri kwa hamu hotuba na shombo za Mugabe kama alivyotoa mwaka Jana january
 
Hapa ndipo Waafrika tunaonekana wapumbavu.. Mijitu zaidi ya milioni 40 inasumbuliwa na mtu mmoja mwenye miaka 93..
 
Hakika kwenye msafara huo yuko na wale Vijana wake machachari Junior na Chatunga...tehe tehe.
Wataliamsha dude New York wale machalii..
 
Back
Top Bottom