Rais Mtarajiwa SA kupandishwa upya kizimbani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Mtarajiwa SA kupandishwa upya kizimbani.

Discussion in 'International Forum' started by Indume Yene, Jan 12, 2009.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Rais mtarajiwa wa Afika ya Kusini Bw. Jacob Zuma huenda akapandishwa kizimbani kwa mara nyingine kwa makosa yaleyale ambayo yalitupiliwa mbali na mahakama ya chini mwezi Septemba mwaka 2008.
  Kesi hii ambayo imechukuwa muda mrefu kusikilizwa ambayo ilisababisha kuanguka kwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Thabo Mbeki.

  Jaji Chris Nicholson aliitupilia mbali mashitaka dhidi ya Zuma kwa kudai kuwa upande wa mashitaka hawakumpa nafasi mtuhumiwa kueleza kile ambacho alikuwa anakifahamu.

  Pamoja na ushindi wa Zuma katika kesi hiyo, jaribio lingine linakuja baada ya Jaji wa Mahakama Kuu nchini humo Bw. Louis Harms kudai kuwa mahakama hiyo ya chini nayo ilienda beyond na mamlaka yake katika hiyo kesi. Hivyo kulingana na maamuzi haya, upande wa mashitaka unaangalia ni tarehe gani iweze kumpandisha Bw. Zuma kizimbani kwa mara nyingine. Bw. Zuma anakabliwa na makosa 16.

  Swali linakuja hapa: Je vita hii kati ya Zuma na serikali itaisha lini. Hii kesi ilikuwa na msisimko wa aina yake nchini humo, vilevile ilizidisha chuki ndani ya chama cha ANC na kufikia kiwango cha kumegeka. Nafikiri ndoto ya baadhi ya watu/viongozi ANC ni kuhakikisha Zuma harudi tena kwenye ulingo wa siasa especially kwenye KIRINGE


  Source: Nytimes.
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbeki 'vindicated' by Zuma ruling

  Former South African President Thabo Mbeki has said he feels vindicated by a court ruling reviving corruption charges against his rival, Jacob Zuma.

  Mr Mbeki said the appeals court was right to overrule a judge who suggested he had interfered in the case against the African National Congress leader.

  That judgement led the ANC to order Mr Mbeki's resignation as president.

  Mr Mbeki said lying for political gain was becoming entrenched in South Africa and it would corrupt society.

  On Monday, the Supreme Court of Appeal in Bloemfontein said state prosecutors could resurrect their corruption case against Mr Zuma, who is tipped to become South Africa's next president after general elections due this year.

  Mr Zuma denies the charges and has unwavering support from the ANC leadership, the trade unions and Communist Party.

  His supporters have always said that a series of charges against him were part of a plot to prevent him becoming president.

  'Unjustified findings'

  But judges on Monday cleared Mr Mbeki of allegations of political meddling in the Zuma investigation and ruled High Court Judge Nicholson Chris had "overstepped" his authority.

  In a statement, Mr Mbeki lambasted the High Court judge, saying he had made "unjustified findings against persons who were not called upon to defend themselves".

  Like the appeals court, Mr Mbeki accused the judge of having failed to distinguish between allegations, facts and suspicions when he made the ruling last September.

  Mr Mbeki - who was replaced as president by Zuma ally Kgalema Motlanthe - said he was pleased the appeals court had insisted that nobody's integrity should be attacked on the basis of untested allegations.

  Now that the former president has been cleared of taking part in a political conspiracy against his old rival Mr Zuma, some of his backers are calling on the ANC to apologise for sacking him.

  The bitter row over whether there was any political interference in the case has already led to several senior ANC officials leaving the party and setting up a rival group - Congress of the People (Cope).

  Mr Zuma has said he would resign from public office if convicted. He could still be prosecuted if he became president.

  The 16 charges of corruption, money-laundering and racketeering stem from a controversial $5bn (£3.4bn) arms deal in 1999.

  In a separate case, Mr Zuma was also charged with rape, but acquitted in 2006.

  Source: BBC NEWS | Africa | Mbeki 'vindicated' by Zuma ruling
   
Loading...