establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,630
- 2,378
Wote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
Kwani taratibu za kushiriki zikoje?Wote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
Hiyo award ni Private waulize wenyewe team No IbrahimWote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
Zanzibar siyo state na head of state ni Rais wa JMT.
Zanzibar sio nchiWote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
Mr.Hapa pangu hana hadhi ya kushiriki tuzo ya MoIla Karume anaweza kushiriki kwa kigezo cha kuwahi kuwa mkuu wa serikari (yani head of the government)