Rais mstaafu wa Peru ajipiga Risasi kuepuka kukamatwa kwa tuhuma za Rushwa

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Allan Gracia ni Rais mstaafu wa Peru, anatuhumiwa kujikwapwalia mamilioni ya Rushwa kutoka kampuni moja ya Brazil wakati akiwa Madarakani.

Natamani polisi wetu na TAKUKURU wangetelekeza kwa vitendo kauli mbiu ya SHERIA NI MSUMENO AU HAKUNA ALIYEJUU YA SHERIA.

Nani atapona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wapewe maagizo.Wangekuwa wako huru wangeshaifanyia Kazi ripoti
 
Back
Top Bottom